Alberto king
Member
- Jul 27, 2016
- 26
- 6
SAFI KBS MMEZIDI UKWEPAJI NA KESHO IWE HIVYO MNASABISHA WALIMU WASILIPWE MADENI YAO
Pole ndugu yangu, hii haina tofauti na kukabwaMifumo ya malipo ya kodi isiwe ya mateso kwa walipaji. Ni wapuuzi tu wanaotetea utaratibu wa kumsumbua mtu anayefanya malipo. Ni lazima kuwe na njia mbadala kama mfumo wa max malipo haufanyi kazi.
Haya ndio mambo ya akili ndogo kutawala akili kubwaKazi ya kulinda gari ni kazi ya tra, siku wakikamata langu tunapelekana mahakamani, kuna vijana wengi wanahitimu sheria unamuwezesha nauli na msosi na kumwahidi tukishinda kesi tunagawana fidia pasu.
Server ilizidiwa na wingi wa wataka huduma. Hizi ni system. Ni sawa na mlango kuzidiwa na watu wanaotaka kutoka au kuingia ndani.Sawa, makosa yake unayomwita "mzembe wa kutupwa" amekubali na ndio maana anatozwa faini na malipo husika! Lakini hiyo haikuwa hoja wala shida yake......yeye issue yake ipo kwenye Max Malipo kwanini mtandao haupo? KWanini pasiwepo na njia nyengine za kulipia hizo hela kwa TRA?
wanakata kwa mtoa hudumaa, ujumbe una verifai tu kua wamedokoa VAT muusika asa ni mtoa huduma,sio wwe mtumiajiWizi ni kila sehemu hapa Tz sasa, juzi nilinunua kavocha kangu ka jero kukaweka tu naambiwa kamekatwa VAT kwa hiyo sio 500/- tena! Nadhani kuwa tax compliant sio kulipa kodi ukiwa umeshikiwa mtutu bali fairness inatakiwa kama ile logo ya TRA inavyoonyesha mizania ya usawa. Hapa ni kunyang'anyana na ndio maana kila siku ni kuwindana kana kwamba ni kodi haramu!
Server ilizidiwa na wingi wa wataka huduma. Hizi ni system. Ni sawa na mlango kuzidiwa na watu wanaotaka kutoka au kuingia ndani.
Sikupi jibu. Baki na maswali yako.Kwanini itumiwe kampuni yenye server ndogo isiyoweza kukidhi uwezo wa japo malipo ya magari 150 kwa siku, anayolalamika mtoa mada? Kwanini TRA wasiwe na njia mbalimbali tofauti za kupokea malipo ili njia moja ikibuma njia zingine zifae?
ah ah burazaSikupi jibu. Baki na maswali yako.
ah a h ngoja njitahidi kukupa jibu...changamoto ya maxmalipo wamehodhi huduma nyingi na hawajawekeza kwe system so server inazidiwa mfano halisi banki za nmb na crdb walikua wanatumia machine zao..naona wameona kazi haziendi wameamua jitoa koz watumiaji walikua wanalalamika akifanya muamala mmoja lazima machine istuck...nadhani cha msingi ni kupeleka hizi huduma kwa watoa huduma mbalimbali kama selcom basi hata bank...au hizi machine itabidi ziwe uviversal complied sihitaji kucheki mpira niwe na card ya selcom nkienda mwendo kasi nakutana na maxmalipo etc etcKwanini itumiwe kampuni yenye server ndogo isiyoweza kukidhi uwezo wa japo malipo ya magari 150 kwa siku, anayolalamika mtoa mada? Kwanini TRA wasiwe na njia mbalimbali tofauti za kupokea malipo ili njia moja ikibuma njia zingine zifae?
Anazungumzia Tzs 10.000 ya kulipia gari alipolipaki. Kunaweza kuwa namna fulani ya ujanjaujanja wacheleweshe malipo hizo pesa za parking zikiingia.Sasa hapo MaxMalipo wanaiba vipi wakati TRA ndo wanaopata hiyo pesa? Mlaumu the taxman hapo, maxmalipo faida yao ilo pale pale hata "wakizima" mtandao mwezi mzima, hawafaidiki na limbikizo.
Hahahaha nawe una maneno,utadhan wewe ni mtaalam wa kila kitu,mimi si mkwepa kodi fatilia Uzi anyway ilikuwa ni kuleta kwa wanajamvi huwez jua leo kwangu kesho kwako
ah ah buraza
ah a h ngoja njitahidi kukupa jibu...changamoto ya maxmalipo wamehodhi huduma nyingi na hawajawekeza kwe system so server inazidiwa mfano halisi banki za nmb na crdb walikua wanatumia machine zao..naona wameona kazi haziendi wameamua jitoa koz watumiaji walikua wanalalamika akifanya muamala mmoja lazima machine istuck...nadhani cha msingi ni kupeleka hizi huduma kwa watoa huduma mbalimbali kama selcom basi hata bank...au hizi machine itabidi ziwe uviversal complied sihitaji kucheki mpira niwe na card ya selcom nkienda mwendo kasi nakutana na maxmalipo etc etc
Kwa taarifa yako bulaza. Max malipo ndiwo walioshinda tenda. Selcom nao walijitosa wakawa na coverage kidogo zaidi. Selcom amejikita dsm zaidi na miji kama Arusha kidogo na mza kiasi. Hapa iringa hawapo. Labda apewe u sub agent na max malipo apate some of the commission.ah ah buraza
ah a h ngoja njitahidi kukupa jibu...changamoto ya maxmalipo wamehodhi huduma nyingi na hawajawekeza kwe system so server inazidiwa mfano halisi banki za nmb na crdb walikua wanatumia machine zao..naona wameona kazi haziendi wameamua jitoa koz watumiaji walikua wanalalamika akifanya muamala mmoja lazima machine istuck...nadhani cha msingi ni kupeleka hizi huduma kwa watoa huduma mbalimbali kama selcom basi hata bank...au hizi machine itabidi ziwe uviversal complied sihitaji kucheki mpira niwe na card ya selcom nkienda mwendo kasi nakutana na maxmalipo etc etc
Jamii forum should be Used as a Plain platform and room of unbiased discussion.
Msije na Hija zenu za kibiashara, Kiushindani kutaka wana Jamii tuwasaidie..
Mdau anzisha Uzi mwingine[/QUOTE
umekula lakini au ubishi tu..mi nmeongelea kwe marketing persepective ndo maana nmeongea hili swala.......tunainga kwe cashless society ndo maana unaona mabank mbalimbali yanaelezea manunuzi kwa kutumia card zao..hizi kampuni mbili nazo zimeingia kwe huu mchakato ambapo unaweza tumia card zao kufanya manunuzi..sasa unaambiwa kampuni moja imezidiwa hadi machine inastuck unajua imapct yake kwe uchumi..nilichojaribu kuemphasis iwepo pratform moja ambapo card unaweza fanya malipo ya postpaid cards bila kutegemea kubeba makadi kibao mkononi..sema kwakua nmegusa ugali wako ushapanick...nmeandika hiyo post kama user fastinated with cashless society
Katiba mpya ndiyo itawasha mtandao wa maxmalipo?Pole
Ndo nchi yako iyo, people aren't ready for changes
Iyo nchi bila katiba mpya ndo itazidi kuwa mzoga