Recent content by Marekebisho

  1. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania Majibu: Kwanini Nyerere hakuvaa sare za CCM?

    Pamoja na yote kama ishara ya mapenzi kwa ubunifu na utamaduni wa Mtz Mwl Nyerere alikuwa na shati la KITENGE alilovaa kwenye baadhi ya mikutano ya ndani na halaiki.
  2. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania Mishahara serikalini!!

    Mbele na Nyumba mwalimu anayefundisha Maarifa na Maadili husahauliwa na wananfunzi wake ambao wanabadilika kuwa ma FISADI kwa mishahara minono.
  3. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania CCM; Ochele Obuto hafai kuwa mbunge wa Rorya

    Mdau wangu MJANGA, Vema unaanza kuelewa. Mie nae nilikua radical sana nisiyekubali maneno ya ghafla tu juu ya mtu. Tangu nimeanza kujenga masjala ya wasifu wa viongozi vijana ktk medani zote hapa Tanzanaia, nilivutiwa sana na historia ya baadhi ya Vijana ambao wamekuwa wajasiri,wametukanwa sana...
  4. Marekebisho

  5. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania CCM; Ochele Obuto hafai kuwa mbunge wa Rorya

    Mjanga uwe makini na siasa za uongo. Mie hapa Dar nimeshafanya tafati mbali mbali juu ya VIJANA ktk SIASA na WaTZ wa Diaspora na Siasa za Vyama. Nimefuatilia sana habari za Maina Owino kwa wajaluo wengi lakini hata Lameki Oiro mwenyewe anamkubali na kumhofia sana huyu bwana. Suala la Ubunge wa...
  6. Marekebisho

  7. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania CCM; Ochele Obuto hafai kuwa mbunge wa Rorya

    Habari za wajaluo zinasema Tatizo ni hawa wafanyabiashara na hata kambi ya iliyokuwa ya Profesa Sarungi, wakisikia tu jina la huyo Maina Owino wote wanaungana na vikao vinakua ni kila siku ili jamaa asichukue UBUNGE sababu inasemekana yeye aliweka wazi ufujaji wa pesa ya umma ''STOP'', ma omera...
  8. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania ‘CCM ilikufa Nyerere alipong’atuka’ , Vincent Nyerere (CHADEMA)

    Vice anza kuaga Musoma bye bye bye. Rudia taxi kuendesha.
  9. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania Malawi, Tanzania border dispute talks fail: Africa ex-presidents to mediate

    MEDIATION TEAM MALAWI VS TANZANIA 1.Keneth Kaunda 2.Joachim Chisano 3.Masire 4.**Salim A.Salim/Mama Mongela 5.**Dr. Lamwai/au mzee wa Vijisenti 6.++2*Malawian Statemen/Legal adv
  10. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania Priorities of president Kikwete!

    Seems like u do like to write but unfortunately u hv nothing to write. Quite sad Ngida1
  11. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Mwenye masikio ma asikie mwenye macho ma some. TANZANIA IMEUZWA NA WACHACHE
  12. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    jamanni hapa vita ni ccm ya kusi dhidi ya kasi. Eleweni......ni kulinda himaya tawala
  13. Marekebisho

    JamiiForums Tanzania CCM London wanyimwa mwaliko wa mkutano mkuu 2012 kwa kuchokonoa ulaji wa wakubwa CCM

    Katika hali tete isiyo aminika ccm london wamenyimwa mwaliko wa kuhudhuria mkutano mkuu wa ccm 2012 dodoma kwa kile kinachosadikiwa kuchokonoa ufisadi wa mradi wa mamilioni uliofanywa na wakubwa wa ccm na ikulu. Mtandao umekamata. Wakubwa hao walioko kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu; mshauri...
  14. Marekebisho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabila la kichaga limegawanyika katika maeneo mangapi ?

    chadema ni mchanganyiko wa kaya zote za kichaga..
Back
Top Bottom