Recent content by Mare man

  1. Mare man

    JamiiForums Tanzania DED Magu angalia sana Idara ya Elimu Msingi

    Uongo! Uratibu milion kwa kipi? Mbn uratibu hauna mafungu yoyote? TUHUMA ZA KUPIKA.
  2. Mare man

    JamiiForums Tanzania Adam Malima na RAS wako hapo Mara mjitathmini

    Unataka wawafanyie mtihani madogo au?
  3. Mare man

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hivi mnadhani nikiondoka madarakani ndege, reli, hospitali zitajengwa? Kwanini huko nyuma hawakufanya haya?

    Vipaumbele vya taifa si ilikua semina na makongamano!!
  4. Mare man

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi: Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi wa Nachingwea Watenguliwa

    Watu wengine wamekariri Kila post Ina kuapishwa!! 😀
  5. Mare man

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hawawezi kuja kujibu, lakini ndo utaratibu wao huo, peleka barua watakuunga chap
  6. Mare man

    JamiiForums Tanzania 14-Oktoba-1999: Ulikuwa wapi?

    Daaah! Nilikua Drs la 6 nakumbuka tumetoka skul kurud home namkuta bmkubwa analia KINOMA!! ITV nyimbo za komba "taifa lahuzunika" "kwaheri mwalimu" zinapigwa!
  7. Mare man

    JamiiForums Tanzania Prof. Benno Ndullu, biography &CV

    Hivi governor ndullu alipandisha uchumi wa Tanzania? Au aliimarisha shilling ya Tanzania?? Embu fanya assessment wakati ameingia alitukuta wapi na katoka katuacha wapi? Fanya critical analysis!
  8. Mare man

    JamiiForums Tanzania Kenge ana madhara gani kwa Binadamu?

    Hahaha hahaha!
  9. Mare man

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Serikali unahitajika kwa haraka sana kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu SAUT Mwanza

    Si waombage vyuo vya serikali mbn vimejaa na nafasi zipo lukuki!!!
  10. Mare man

    JamiiForums Tanzania Kati ya Iringa Mjini na Moshi Mjini, mji gani unakua zaidi?

    Tatizo watu wanachambua vitu vya mapenzi na ndo Mana wanatoka nje ya mada! Jamii forum siku hz imejaa vilaza Sana! Inatakiwa kuwe na qualifications za kucomment humu
  11. Mare man

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna siku jiji la Dodoma(makao makuu TZ) litakuwa bora kuliko majiji yaliyotangulia kama Mbeya, Dsm, Arusha, Tanga na Mwanza.?

    Wengi hawajui jiji ni Nini na mkoa ni Nini!! Na unakuta anakwambia kafaulu GS
  12. Mare man

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna siku jiji la Dodoma(makao makuu TZ) litakuwa bora kuliko majiji yaliyotangulia kama Mbeya, Dsm, Arusha, Tanga na Mwanza.?

    Jiji ndo linaongelewa! Sio mkoa mkuu! Kua Makin kidogo! Jiji ni wilaya so linaendana na Moshi ambayo nayo ni wilaya! Kama tungesema mkoa ndo tungehusianisha na Kilimanjaro
  13. Mare man

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna siku jiji la Dodoma(makao makuu TZ) litakuwa bora kuliko majiji yaliyotangulia kama Mbeya, Dsm, Arusha, Tanga na Mwanza.?

    Kwelii wee ni pilipili kichaa!! 😀😀😀 Yani unafananisha Moshi na Dom? Moshi c mashambani? C hua tunaendaga kuzika tuu na kurudi, hata kukaa hatutaki,
  14. Mare man

    JamiiForums Tanzania Kahama VS Njombe/Mafinga

    Kuna ukali hapo Sasa?
  15. Mare man

    JamiiForums Tanzania Treni ya abiria( express) yakwama kazuramimba

    Jiongezea! Sio Kila kitu utafuniwe! Google ilipo kazuramimba upate maarfa
Back
Top Bottom