Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Treni ya express iliyokua inatoka moro kwenda kigoma imekwama eneo la kazuramimba siku ya nne leo..abiria wamekwama siku ya nne leo bila taarifa yoyote,abiria wakosa vyakula,wagonjwa na watoto wakosa huduma muhimu kwa siku mbili sasa,treni ulitakiwa itumie siku mbili kufika kigoma mjini.