Tanzania: kama familia ya mama Pekupeku
Nani aje kuisimamisha nchi yetu katika mzunguuko huu wa matukio na umasikini? Kwa maana bila yavyo, hatutoki ng'oo!
Kwamba ukiitafakari nchi hii, na yale YANAYOTOKEA siku hata siku, utabaini kuwa tuko kwenye mzunguuko wa matukio na matumizi. Ndio, tuko...
Wagumu,
Baada ya takribani miaka minne ya uvumilivu na kujitenga nimerejea hapa jukwaani tuendelee kujadiliana na kupashana habari zenye tija kwa nchi yetu. Miaka minne hii niliitumia kwa mambo makubwa matatu:
1. Kujiendeleza kielimu na kukamilisha utafiti: Hii ikumbukwe ni kujiweka sawa kiakili...
Naamini ujumbe huu utamfikia The Boss pia,
Kuwa kila kitisho cha usalama kina mazingira yake na namna yake ya kukikabili: Kukimbia ni moja ya mbinu ya kumkabiri adui popote! Na sasa nimerudi nikiendelea kutekeleza kile ninachoamini. Kwa taarifa tu, nilipata taarifa za kuwepo mpango wa uovu juu...
NADHANI MSOME KWANZA TAMKO LENYEWE:
CIVIL AND POLITICAL RIGHTS WATCH The Citizens' Parliament watch Leo Machi 21, 2013 TAARIFA KWA UMMA JUU YA HALI YA KISIASA NA USALAMA NCHINI Taarifa hii ni matokeo ya ufuatiliaji shughuli za kisiasa na mwenendo wa haki za Raia unaoendelea hivi sasa...
Pole sana,
Chukua hatua za haraka za kujihakikishia usalama wako. Baada ya hapo wasiliana na wadau wengine wakusaidie kuwa salama na kuendeleza unayodhani ni azma yako kwa faida ya nchi yako. Karibu Tanzania: Mungu akulinde.
Wana Jukwaa, Nawashukuru nyote kwa namna ya pekee kujali na kupaza sauti zilizowatia hofu watesi wangu na kunijaza ujasiri wa kurejea katika uwanja huu na mapambano ya mabadiriko Tanzania. Kusema kweli sina maneno kwa namna eyote kuweza kuwasilisha shukrani zangu ipasavyo: Naomba itoshe...
Wana Jukwaa, Nawashukuru nyote kwa namna ya pekee kujali na kupaza sauti zilizowatia hofu watesi wangu na kunijaza ujasiri wa kurejea katika uwanja huu na mapambano ya mabadiriko Tanzania. Kusema kweli sina maneno kwa namna eyote kuweza kuwasilisha shukrani zangu ipasavyo: Naomba itoshe...
Tafadhali kwa watanzania walio tayari kuitumikia nchi yao kwa moyo wote walio ndani ya mtandao wa JF, mnakaribishwa kujiunga katika timu muhimu inayoundwa hivi punde. KAZI: Kupika chakula bila kujijali binafsi. SIFA: Kujitoa. Tuma maombi na sifa zako kwa marcossy@yahoo.com kabla ya J5 hii ya Idd...
ONA HII
Tafadhali kwa watanzania walio tayari kuitumikia nchi yao kwa moyo wote walio ndani ya mtandao wa JF, mnakaribishwa kujiunga katika timu muhimu inayoundwa hivi punde. KAZI: Kupika chakula bila kujijali binafsi. SIFA: Kujitoa. Tuma maombi na sifa zako kwa marcossy@yahoo.com kabla ya J5...
NIMEKUPATA:
Tafadhali kwa watanzania walio tayari kuitumikia nchi yao kwa moyo wote walio ndani ya mtandao wa JF, mnakaribishwa kujiunga katika timu muhimu inayoundwa hivi punde. KAZI: Kupika chakula bila kujijali binafsi. SIFA: Kujitoa. Tuma maombi na sifa zako kwa marcossy@yahoo.com kabla ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.