Recent content by Marconho

  1. Marconho

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

    Ukimaliza kusoma hii comment yangu, tafuta fimbo chapa sana huyo cute! Narudia piga stick za kutosha atakueleza ukweli wote! Anajulikana vzr tu huyo cute na kawaongopea vibaya sana! Hizo 600k followers zinamfanya ajulikane na apate sponsors! Kuna conve zake ukitumiwa leo hii hii utaenda...
  2. Marconho

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Harrier na Fuso yadaiwa kuua wawili Morogoro

    Pole sana ndugu!
  3. Marconho

    JamiiForums Tanzania Hivi wananchi wa TARIME wameshindikana katika Nchi hii?

    Mikurya ni nini mkuu? Kuna ndugu yako kapata madhila na hiyo unayoiita mikurya!? Ac
  4. Marconho

    JamiiForums Tanzania Akinyi Must Die (Ni lazima Akinyi Afe)

    Kiuhalisia wewe jamaa ni mtu mmoja mpumbavu sana! Moderator wajitahidi waweke button ya block! Utajikuta huku jf unachambana na familia yako tu! Maana hakuna ambaye angetaka ujihusishe na uzi wake! Kiufupi wewe ni juha!
  5. Marconho

    JamiiForums Tanzania True story: Babu yangu kama mshikaji wangu

    Mkuu achana na hii story! Hapo ulipoandika panatutosha kabisa! Anayetaka mwendelezo, anaweza akaendelea kwa wakati wake!
  6. Marconho

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Ubabaishaji
  7. Marconho

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Waandishi mna moyo sana! Ingelikua ni mimi naleta ep 02, nikiona magumashi ya kuniandama yananizidi natukana then nafunga mjadala!
  8. Marconho

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Views 1+ million, hongera sana Umughaka, nakuombea ufanikiwe katika maisha yako ukiwa ndani ya misingi ya Muumba (MUNGU)! Muumba azidi kukutia nguvu! Uwe unamuombea na mkeo siku zote! Maana ni wanawake wachache wanaojua fadhila! Wengi ni wahuni na matapeli!
  9. Marconho

    JamiiForums Tanzania Tazama kipande cha video kutoka ISS jinsi jua linavyozama

    Haiwezekani watu wanaoharibia wenzao uzi, kufutiwa comment zao ili watu wajifunze zaidi? Kwani hawa akina wazee wa muandamo wa mwezi huwa wanaongoza kuleta ujuaji kwenye nyuzi za watu! Aliyewaeleza kuwa watu wote wanaamini muandamo wa mwezi ni nani? Badilikeni basi!
  10. Marconho

    JamiiForums Tanzania Kina "Chacha" ni watu wa wapi na ni kabila lipi?

    Musoma, Bunda, Tarime, Serengeti kote kuna wakurya! Ttz watu wamekariri kuwa Tarime tu ndo kuna wakurya! Wilaya yote ya Serengeti ni wakurya tupu!
  11. Marconho

    JamiiForums Tanzania Quuen of the south moja ya series Bora Sana itazame hii.

    Nilivyoona tu kaandika hivyo nimeacha hata kuendelea kusoma!! Bado tuna safari ndefu sana!
  12. Marconho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tambua familia bora inavyoishi

    Kweli kabisa
  13. Marconho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwa na miadi sehemu na mwanamke, yeye anakuja na rafiki zake bado ipo?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  14. Marconho

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Ningekutusi ila ngoja nianze mwaka vzr! Sio kila anayebeba pesa ni za mwanaume mwenzake! Tuyaache hayo tufocus kwenye story
  15. Marconho

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Anaropoka na kujidai mjuaji, watu tunabeba mpaka m 100 kupeleka bank yeye anashangaa m 40! Ujuaji ukizidi unabadilika kuwa upumbavu!
Back
Top Bottom