Recent content by Marco Z

  1. Marco Z

    Pauline Gekul, Mbunge wa Babati Mjini(CHADEMA) ajiuzulu na kujivua uanachama, ajiunga na CCM

    Upuuzi wa namna hii, ipo siku utakoma. Watu hawana huruma na taifa hili.
  2. Marco Z

    Nyumba ya kisasa inauzwa million 48

    Tumeisha wazoe. Unakaribishwa pia hata wewe.
  3. Marco Z

    Nyumba ya kisasa inauzwa million 48

    Nyumba nzuri sana. Ina vyumba vitatu vya kulala, vitatu. Vyumba viwili Master bedroom, Sebule kubwa na dining room, Jiko na stoo. Ukubwa wa kiwanja ni mita 25 * 20. Hivyo kuna eneo kubwa mbele ya kujenga fence na fremu za biashara kwa muhitaji wa fremu. Bei ya kuuzwa ni Milo n 48 na maongezi...
  4. Marco Z

    Simulizi ya kusisimua

    Tamuuu sana ee ,mpaka unasikia raha sana ee
  5. Marco Z

    Simulizi ya kusisimua

    Lete utamu we mzee
  6. Marco Z

    Leo nimewavulia kofia wachawi

    Duniani kuna mengi sana yaliyojificha kama ujashuudia au kukutokea unaweza usiamini. Kuna watu wanafanyia wenzao vitu vya ajabu na kushangaza sana. Pole sana mkuu Mungu akutie nguvu
  7. Marco Z

    Haikuwa sahihi kwa Magufuli kugawa Maburungutu ya pesa hadharani

    Naona hakuna ubaya wowote, kukosoa tu kila kitu kinachofanya na Mh Rais , Sijui watanzania tutafika kweli.
  8. Marco Z

    UKAWA mtanyooka tu....!

    Mtetezi wa wanyonge? Wanyonge gani hao? Huyu kijana ajielewe kabisa, mpaka kabadika na picha ili aonekane. Tamaa ya madaraka itawamaliza, vijana mnakuwa wanafiki kiasi, Tanzania ya viwanda ndio nyie !! Mungu tusaidie
  9. Marco Z

    Msaada wa maombi mazito, Mama anaangamia!

    Pole ndugu yangu, jaribu kwa watumishi wa Mungu hakika Mungu ni mwema atapona.
  10. Marco Z

    Bosi anaisambaratisha familia yangu huku nikiwa sina la kufanya

    Acha uongo mkuu, mbona maelezo yako hayako sawa sawa
  11. Marco Z

    Mtela Mwampamba aula, ateuliwa kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo (DAS)

    Pongezi zake, hata hivyo alikuwa mvumilivu sana ktk kutoa matamko ya kinafiki, kisa cheo sasa amekipata acha aule.
Back
Top Bottom