tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
Kuna mgongano wa kimaslahi kati ya sera ya kubana matumizi ya fedha za umma na uwepo wa mrundikano wa viongozi wafuatao katika Wilaya, Miji , majiji na Mikoa:-
1. RC- Regional Commissioner (Mkuu wa Mkoa);
2. RAS- Regional Administrative Secretary (Katibu Tawala wa Mkoa);
3. DC- District Commissioner (Mkuu wa Wilaya);
4. DAS - District Administrative Secretary (Katibu Tawala wa Wilaya);
5. DED/TED/MED/CED - District/Town/Municipal/City Executive Director (Mkurugenzi wa Wilaya/Mji/Manispaa/Jiji);
6. Mwenyekiti wa Halmashauri;
7. Meya wa Manispaa/Jiji.
Kama kweli tunataka kubana matumizi ya Fedha za umma, utitiri wa viongozi hawa uangaliwe upya. Kuna wengine hasa DC na DAS hawana umuhimu wa kuwepo.
Nawasilisha.
Angalia utitiri huu wa ma DAS!