Recent content by Marco Exavery

  1. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania LICENSE KEY

    Natafuta key za grammarly
  2. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya rooting ya Tecno K7

    nimefuata maelekezo naona naletwa hapa , whats wrong
  3. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanya rooting ya Tecno K7

    Habari wadau, Nimejaribu kufanya rooting ya tecno K7 lkn anaona inafeli. Naombeni msaada nifanye nn au nitumie app ipi maana simu yangu imekuwa kero kwan kila wakati application zinastop responding hadi inakuwa kero.
  4. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

    zipi hizo dawa mbili plz msaada wako ikiwezekana naomba contact yako
  5. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya homa ya usiku katika mdomo(lip) wa juu.

    29 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania Vidonda vya homa ya usiku katika mdomo(lip) wa juu.

    29 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Kimya sana mbona hamjibu wateja wenu
  8. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Quality ya picha sio nzuri
  9. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Wekeni Channel ya DW ktk vingamuzi vya anntena
  10. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania How to unlock Vodafone 785?

    naomba mimi code ya vodafone v785 imei 359729059231846 svn240HPG1
  11. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania Mafua mazito

    Habari! Ndg mimi nimesumbuliwa na mafua sana nilikuwa na mafua makali nikatumia dawa top plus yakapungua lakini nikashangaa badaa ya siku kadhaa nikawa natoa makamasi mazito kwenye pua la kushoto tena makamasi yenye rangi ya kijani yenye harufu kali some time yamechukua muda sasa like 3 weeks ...
  12. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nitajuaje siku za hatari kwa mke wangu?

    Kwan kasema hataki mimba huenda anatafuta mimba
  13. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania DTV air channel

    Je hizo kadi zinaweza kupatikana bil king'amuzi??
  14. Marco Exavery

    JamiiForums Tanzania DTV air channel

    Wadau kuna hizi tv za sumsung zenye inbiult decoder, ukiweka antenna huwa zinaonesha channel fulan lkn tatizo lngu ni kwamba channel zinaweza kuwa zinaoonekana leo baada ya siku mbili the same channel unona wanasema scrambled channel tena baada ya siku ten zinarud. Je kuna njia ya kurekebisha...
Back
Top Bottom