Jinsi ya kufanya rooting ya Tecno K7

Marco Exavery

Member
Aug 14, 2016
31
95
Habari wadau, Nimejaribu kufanya rooting ya tecno K7 lkn anaona inafeli. Naombeni msaada nifanye nn au nitumie app ipi maana simu yangu imekuwa kero kwan kila wakati application zinastop responding hadi inakuwa kero.
 
smigo4u

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
3,277
2,000
Habari wadau, Nimejaribu kufanya rooting ya tecno K7 lkn anaona inafeli. Naombeni msaada nifanye nn au nitumie app ipi maana simu yangu imekuwa kero kwan kila wakati application zinastop responding hadi inakuwa kero.
Root tool for all Mediatek phones - Android Devs
[Root tool for all Mediatek phones - Android Devs] is good,have a look at it! http://www.androiddevs.net/root-tool-mediatek-phones/
Fuata hayo maelekezo
 
Marco Exavery

Member
Aug 14, 2016
31
95
Root tool for all Mediatek phones - Android Devs
[Root tool for all Mediatek phones - Android Devs] is good,have a look at it! http://www.androiddevs.net/root-tool-mediatek-phones/
Fuata hayo maelekezo
nimefuata maelekezo naona naletwa hapa , whats wrong

1128090
 
cuth_chris

Member
Jul 4, 2016
51
125
Habari wadau, Nimejaribu kufanya rooting ya tecno K7 lkn anaona inafeli. Naombeni msaada nifanye nn au nitumie app ipi maana simu yangu imekuwa kero kwan kila wakati application zinastop responding hadi inakuwa kero.
Apps kustop kurespond ni shida ya software...rooting haitasaidia cha kufanya flash kwanza simu yako na stock ROM yake kisha rooting itafuata baadae. Kumbuka hakuna app ya kuroot android 6, 7, 8 na kuendelea ila kuna njia za panya za kufanya hayo tuchekiane nikusaidie

Cuthbert Chris
cuthchris@gmail.com
+255766140561 or +255652567270
 
Mwamboro

Member
Jan 4, 2017
32
95
Unlock bootloader alaf flash twrp custom recovey alaf mwisho utaamua uroot kupitia magisk au chainfire zip
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom