Mafua mazito

Marco Exavery

Member
Aug 14, 2016
31
5
Habari!
Ndg mimi nimesumbuliwa na mafua sana nilikuwa na mafua makali nikatumia dawa top plus yakapungua lakini nikashangaa badaa ya siku kadhaa nikawa natoa makamasi mazito kwenye pua la kushoto tena makamasi yenye rangi ya kijani yenye harufu kali some time yamechukua muda sasa like 3 weeks .

Nitumie dawa ngani jamani.
 
Back
Top Bottom