Recent content by Marashaaa95

  1. Marashaaa95

    Master Jay akubali P Funk majani ni bora kuliko yeye

    Katika pita pita zangu huko jamii ya watu wa Facebook nimekutana na hii comment kutoka katika Page rasmi ya MASTER JAY
  2. Marashaaa95

    "Wanawake Wenzako". Hii Ni Kauli Ya Dharau Sana Iliyotolewa Na Luhaga Mpina Kwa Amiri Jeshi Mkuu. Imeniudhi Sana

    Mshamba wa IGAMBA wewe Umekaa kishamba shamba kama wanyiha wa Nyimbili😄
  3. Marashaaa95

    "Wanawake Wenzako". Hii Ni Kauli Ya Dharau Sana Iliyotolewa Na Luhaga Mpina Kwa Amiri Jeshi Mkuu. Imeniudhi Sana

    Hii michawa yakina Lucas ina Faida gani kwa hili Taifa ? Miwatu Kutoka MBOZI mishamba sana
  4. Marashaaa95

    Vitu vingine vinafikirisha sana

    Hizi ndio shuhuda?? Mmeanza story kwenye Thread ya Nwenzenu 😁😁
  5. Marashaaa95

    Programmer na developer wa Tz tunafeli wapi?

    Kareem Design anakuja na game kali litaitwa BUS SIMULATOR TANZANIA Muangslie Instagram kuona Project zake
  6. Marashaaa95

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Asante sana mkuu
  7. Marashaaa95

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Idimi Nauliza ili SEBENE wanalocheza wakina ZIMWI na MZEE KING MAJUTO nani ni MSANII na nyimbo inaitwaje?? https://youtu.be/vnmKkyqQ2AE?si=6kRLLw_pSMY9VLA_
  8. Marashaaa95

    Natafuta audio/soundtrack ya kwenye movie ya my darling

    👉Mapenzi ya kweli hayafi kamwe😁
  9. Marashaaa95

    Natafuta audio/soundtrack ya kwenye movie ya my darling

    WAKUU Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya ile movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI Maana ni balaa nikikumbuka. Beat kali,Ujumbe mkali na muimbaji aliimba kwa hisia sana . YouTube hii movie haipo ,nahisi...
  10. Marashaaa95

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Sina Ndugu ,hata YouTube nahisi waliitoa ilikuwepo kipindi cha miaka ya 2017 huko saizi nikiingia siioni
  11. Marashaaa95

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    KIOO Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI Maana ni balaa nikikumbuka. Natanguliza Shukrani
  12. Marashaaa95

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Ally Mpemba alikua anaichakata hiyo Mbususu ya Maya ki masikhara sana., UMUGHAKA kapewa na Tuzo ya Heshima kabisa na Farha(Maya)😜
  13. Marashaaa95

    Utajiri wa rafiki yangu ulivyofanya nikamuamini Shetani

    Tunasubiri sehemu ya 20 mzee Dingi😃😃
  14. Marashaaa95

    Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

    Imeandikwa wanawake tuishi nao kwa akili sana 😁
Back
Top Bottom