Recent content by marandu2010

  1. marandu2010

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mechi ya kirafiki Kati ya Simba vs jkt Ni lini? Na saa ngapi?
  2. marandu2010

    Ms. Leeyjay Tupo na Wewe

    Amina,na Mimi nipo pamoja nanyi kumuombea mpendwa wetu apone kwa Yale yanayomsibu,amina
  3. marandu2010

    Nimeshindwa kuacha kujichua

    Dhamiria kwelikweli kuachs,mm Sasa mwaka wa 4,sijafanya punyeto,jiunge nofap,ukutane na watu wanaoacha punyeto,goodluck
  4. marandu2010

    natafuta mhasibu kutoka inland container depot(ICD)

    Habari ndugu zangu,naomba nipate kuunganishwa na mhasibu wa bandari kavu (inland container depot)kwa kifupi ICD,nina hitaji msaada wa mawazo na uzoefu,mm nimesoma uhasibu ngazi ya bachelor degree,namba yangu 0712705389 nipo dsm,nitashukuru sana.
  5. marandu2010

    Jinsi ya kupata Leseni ya Biashara

    Ndugu zangu,naomba kuuliza,ina maana ile ada ya leseni ni sehemu tu ya hela unayolipa kila mwaka au Kuna pesa nyingine zaidi ya hiyo? Maana naona Kuna makadilio ya Kodi.naomba kueleweshwa tafadhali
  6. marandu2010

    Nini kilikusaidia kupata kazi?

    Uzi makini san
  7. marandu2010

    Siku 350 bila punyeto wala picha za ngono

    Ndugu zangu nimekuja kuihuisha post yangu https://www.jamiiforums.com/threads/siku-350-bila-punyeto-wala-picha-za-ngono.1682370/ Leo nimejaaliwa kufikisha miaka 2 miezi 11 na siku 10 tangu niache punyeto na kuangalia picha za ngono.sasa nipo huru na furaha tele Kikubwa ni kuwapa moyo ndugu...
  8. marandu2010

    Tunaoacha kucheza kamari (bonanza au dubwi) tukutane hapa

    Day 3,namshukuru Mungu
  9. marandu2010

    Tunaoacha kucheza kamari (bonanza au dubwi) tukutane hapa

    unajifurahisha wakati hela inapotea? Utapataje furaha kwa kitu kinacho kutia hasara na sio faida?
  10. marandu2010

    Tunaoacha kucheza kamari (bonanza au dubwi) tukutane hapa

    fanya kweli,mm binadamu kama wewe,nikiweza wewe utashindwaje?
Back
Top Bottom