Recent content by MARA-CLARA

  1. M

    JamiiForums Tanzania PPF wamenza kuita watu usaili wa Oral

    PPF wameanza kutuma message za kuita watu kwenye Oral interview, kaa karibu na simu yako!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu alinidanganya kuwa yeye ni bikira

    ww hata aibu huna looooo!!!!!!!!!!! hiv nyie wanaume mbona mnapenda sana kuwasimanga wanawake kama vile nyie ni wasafi sana jaman????hata kama ni kiumbe zaifu sio kwa matusi hayo (ndio masichana yalivyo) hiv ww uliyekewa unataka mpenz wako awe bikira wewe ni bikra????tusifanye hvo jaman.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake: Nini kinachopelekea kufanya mapenzi kinyume na maumbile

    most of girls wanafanya mapenzi kinyume na maumbile kwa kulazimishwa na wanaume. mtu anakubali kufanya hivo ili kumridhisha mpenzi wake bila kujua kwamba anajiumiza mwenyewe. ubuya unakuja pale ukishakubal kutoa ni ngumu kuacha baada ya kuzoea kufanya hvo.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Stationery: Ushauri, Vifaa, Gharama na Mbinu za Uendeshaji

    ndugu zangu naomba mtu mwenye idear ya biashara ya stationary anijuze, hasa zaid katika capital ambayo inahitajika katika kufanya biashara hyo. nawasilisha.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya stationary

    Habar wanaJF Naomba kama kuna mtu humu ndani anafanya biashara ya stationary katika wholesale ani pm. Samahan kwa usumbufu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Something Special on Haya Girls

    this is according to you, ww vp ww!!!!!!!!!!!!!:target:
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke na kufika kileleni

    habar zenu wa jf, mm ningependa kujua mambo machache katika mapenzi 1. Hivi inawezekana kwa mwanamke kufika kileleni akiwa anasex????? 2.Ni nini kinaweza kumsaidia mtu ambaye hajawah kufikia kilelen aweze kufika??? 3.Kwann kuna wakati ukiwa unafanya mapenzi unaumia hasa pale uume unapokuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna mwanaume rijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja tu

    hiyo ni tamaa yako tu acha kujitetea, kama ndio tabia yako ni ww acha kuwajumuisha na wengine.pia kumbuka pale ambapo ww unachepuka na mkeo nae pia ni mchepukio wa mwenzio. kaa chini fikiri mara mbili:mad:
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri nimuache au nifanyeje?

    mmmh labda nakushauri ukasikilize ule wimbo wa ambwene mwasongwe kwanza wa upendo then ndio urudi.Mungu anauwezo wakufanya pale ambapo hata sisi hatufikirii kama inawezekana.mwasongwe aliimba yule kijana alimpenda yule dada akiwa kichaa na Mungu alimponya yule dada ili yule kaka asiaibike na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Najisikia kukiri hapa jamvini, naruhusiwa?

    mm nafikiri maandiko yanasema kwel lakin akitubu kwel na kuacha atasamehewa.
Back
Top Bottom