Recent content by MaqMasimba The Don

  1. MaqMasimba The Don

    SIMULIZI: "The Godfather"

    Arosto imekaba Mkuu
  2. MaqMasimba The Don

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    -Kama ambavyo hajashawishiwa na mtu yeyote kuja kuandika mkasa wake humu, ndivyo na ninyi pia hamjashawishiwa kuja kusoma mikasa ya Jack Daniel . -Mnaonekana ni kwa namna gani mlivyo wapuuzi na washenzi kwa kumtusi, kumlaumu na kutumia command kwa mtu ambae ameweka mikasa yake kuwiwa kutokana...
  3. MaqMasimba The Don

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    ... tuleteee vitu Jack Daniel
  4. MaqMasimba The Don

    Kuingia makundi CAF Champions League kusiwadanganye kuwa mna timu bora

    Umenzisha uzi, afu unakasirikia comments reply za Wadau vp we kiazi
  5. MaqMasimba The Don

    Kuingia makundi CAF Champions League kusiwadanganye kuwa mna timu bora

    Ukiwa kama kiazi mla mihogo inabidi uelekezwe Uchura wako
  6. MaqMasimba The Don

    Mapinduzi Cup ipewe hadhi

    Mnataka mpewe hadhi ipi akati ninyi wenyewe mnajitenga na kujiona ninyi sio Watanzania bali Wazanzibari? Mlifanya mikakati ya kuua michuano ya Muungano na kuasisi michuano ya Mapinduzi ili mjimwambafai.. Boresheni team zenu ili ziwe na hadhi sawa na team za upande wa Tanganyika, ila sio...
  7. MaqMasimba The Don

    Simulizi: Milango ya mafanikio

    hakika Jack Daniel, upo vzuri ktk Simulizi ya Mikasa.. Samson ndio Jack Daniel Mwenyewe kutoka Mufindi, Tarafa ya Sadani code yangu ndio inaninukia ivoo
  8. MaqMasimba The Don

    Huyu member anayejiita UMUGHAKA anatakiwa apewe tuzo ya utunzi wa hadithi

    Kuna Mdau pia ktk Simulizi za Visa na Mikasa, anaitwa "Jack Daniel" jamaa yupo juu sana ktk kupangilia matukio na aina ya uandishi wake, Ila jamaa ni kama anatingwa sana na baadhi ya Majukumu yake, hupelekea simulizi zake kuwa slow sana, ila ni Bonge la Simulizi..
  9. MaqMasimba The Don

    Niliahidi kuja na 'Exclusives' Saba (7) Saa 3 hii sasa naweka Mambo yote hadharani...

    wewe huwa haujtambui ...kuptia viandiko vyako wewe unajiona kama unajtambua
  10. MaqMasimba The Don

    Simulizi: Mimi na Boss Wangu

    Kachukue Jack Daniel kwa Shedy Bill yote juu yangu.
  11. MaqMasimba The Don

    Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

    Tumia akili ya Mjinga kujinufaisha...Utopolo ujinga umewajaaa adi mpo ktk level ya wapumbavu.
  12. MaqMasimba The Don

    Haji Manara agombana na Rais wa TFF, Wallace Karia jukwaani

    Daaaahhhh!!!!....Andiko la Kijinga limeandikwa na Mjinga.
  13. MaqMasimba The Don

    Hatimaye wenye Simba SC yao ( Wazee wa Fitna na Umafia ) wamerejea rasmi Kuirudisha Simba SC tuliyoizoea

    Unatumia mda mwingi kuandika ujinga ,unadumaza fikra yako ..punguza upuuzi au acha kbs upuuzi .
  14. MaqMasimba The Don

    Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

    Viongozi wa Utopwizo au Utopwenga wameweka wazi kuhusu usajili wa wachezaji wapi????? Utopwizo acheni kujitia dole afu mnajnusisha....
  15. MaqMasimba The Don

    Acheni Kutudanganya ukweli ni kwamba Beki Inonga kasema mkimuacha Mkongo Mwenzake huyo nae anasepa zake upande wa Pili

    Uzuri wa mtandaoni unavojisali huwa hawaulzi kama unayo matatizo ya akili...ndio maana matatizo yao ya akili wanakuja kuoneshea mtandaoni....na ulihisi pia ukiweka uzi kama huu wana Lunyasi wengekuja kwa wingi kuku attack...lkn imekuwa tofauti ...ivo basi mbinu imebumAaaaaa.....
Back
Top Bottom