Rais alikuwa sawa katika hotuba yake, Labda sema kuwa hakuzungumza kitu ambacho wewe ulitegemea akizungumze!! Na hawezi kuzungumza akawaridhisha watu wote!
Hongera sana bwana Mohamed kwa uchambuzi wako katika hili swala. Kila anapoingia kiongozi (Rais) muislamu hawa wakristo hawishi kumsakama kwa maneno ili aonekane kwa watanzania kuwa hafai, Angalia enzi za Al-hajj Mwinyi na sasa Dr kikwete, Hawaishi kutoa miongozo ya uchaguzi, kauli nzito nzito...
Sidhani kama watanzania tumetumia hekma ktk suala hili, Tumeweka siasa hata ktk masuala muhimu ya Afya, Sasa masuala ya Epa na Richmond yanahusiana vp na suala la Rushwa hospital?!!! Tulichambue jambo kulingana na wkt wake na umuhimu wake kwa jamii.
Ni kweli kabisa yeye ndiye alieimaliza Tanzania, Alifanikiwa kukusanya kodi kwa wingi na akazihamishia kwake na rafiki zake. Wanaomlaumu Kikwete hawaangalii mambo kwa mapana yake!!!
Sasa hivi tunaona makosa mengi sana ya JK kuliko mazuri yake!! ila pindi atakapo maliza muda wake tutaanza kumsifia, Kutokana na uongozi wa kiongozi atakaye kuwa madarakani baada yake.
Ndio maana ya uongozi, Kiongozi makini na mwenye buasara akishauriwa kitu cha maana (haijalishi ni nani aliyemshauri) hukifanyia kazi...!!! Kumshukuru aliyemshauri tena mbele za watu, Ni jambo la MAANA NA BUSARA SANA. Baadhi ya tulio wengi hatuwezi kabisa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.