Mkapa anaongoza nchi kimyakimya?

Mkapa anaongoza nchi kimyakimya?

Hata babu sea na mwanae ni mkapa alimshauri awafunge!!
 
Rais Jakaya Kikwete jana alikiri mbele ya mkutano mkuu wa CCM kuwa mambo yote yaliyofanyika ni ushauri wa Benjamini Mkapa. Kikwete aliyasema hayo wakati akiwashukuru wanachama walio mpigia kura alisema,

ninanukuu,
''mara nyingi mimi huwa nikisha jifungia ikulu huwa sielewi kinacho endelea na wakati mwingine hawa majamaa huninyang 'anya hata simu yangu ya mkononi ili watu wasinisumbue lakini mzee Mkapa akisikia au kuona jambo yeye kwakuwa hazuhiliwi pale ikulu hunifuata moja kwa moja na kunipa maelekezo ndugu wajumbe hata utaratibu tulioutumia kwenye mkutano huu ni mzee Mkapa kapangilia''.

Hivyo inaonesha jinsi gani Mkapa anavyomsaidia JK

sasa kama Mkuu wa nchi pindi anapojifungia Ikulu huwa haelewi kinachoendelea, basi sishangai kwa nchi hii kujiendea inavyotaka!
 
kwa hyo inaonesha idara ye2 ya usalama wa taifa haifanyi kazi na kazi yao kubwa ni kumnyang'anya simu dr jk na si kumpa kinachoendelea na kumshauri kinachoendelea knye nchi mpka atoke DR Mkapa Lupaso au Lushoto ,hii idara ivunjwe na kukarabatiwa upya kama Borris Yelsin alivyovunja KGB ya kina Putin na kuunda upya maana naona kodi za wananchi(walalahoi maana wa kina subhash patel, mohd dewji, na wengineo matajiri hawalipi kodi kupitia kufadhili wanasiasa kampeni zao) zinawalipa usalama bure. Tunaomba dr ukitaka ukumbukwe bomoa hii idara maana japo najua hauna uwezo kwa kuwa baadhi yao walikuweka japo haukuwa na sifa linganishi za mgombea anayetakiwa CCM kipindi hicho.
 
kwa hyo inaonesha idara ye2 ya usalama wa taifa haifanyi kazi na kazi yao kubwa ni kumnyang'anya simu dr jk na si kumpa kinachoendelea na kumshauri kinachoendelea knye nchi mpka atoke DR Mkapa Lupaso au Lushoto ,hii idara ivunjwe na kukarabatiwa upya kama Borris Yelsin alivyovunja KGB ya kina Putin na kuunda upya maana naona kodi za wananchi(walalahoi maana wa kina subhash patel, mohd dewji, na wengineo matajiri hawalipi kodi kupitia kufadhili wanasiasa kampeni zao) zinawalipa usalama bure. Tunaomba dr ukitaka ukumbukwe bomoa hii idara maana japo najua hauna uwezo kwa kuwa baadhi yao walikuweka japo haukuwa na sifa linganishi za mgombea anayetakiwa CCM kipindi hicho.
 
Hicho ndicho chama , kina hazina ya viongozi na daima hakisahau njia yake.
 
Licha ya udhaifu mkubwa wa kiuongozi, Kikwete ndiye mtu sahihi kwasasa kuiongoza CCM. Chama kimejaa matepeli,wahuni,wezi,wala rushwa na misheni tauni kibao,naye ameamua kuwaongoza kihuni! Na sasa anajua anastaafu miaka 3 ijayo,ameamua kuwaachia chama wapiga kelele ambao wamekuwa wanampigia kelele kwamba anaua chama. Na anajua kwamba chama kitawafia hawa mababu ambao badala ya kutulia nyumbani kucheza na wajukuu wakisubiri kifo wameamua kurudi ktk game!
 
mkapa anajua bwana hata kama mengineyo aliharibu!Bora ampe ushuri tu nchi isiende kubaya!
 
Ndio maana ya uongozi, Kiongozi makini na mwenye buasara akishauriwa kitu cha maana (haijalishi ni nani aliyemshauri) hukifanyia kazi...!!! Kumshukuru aliyemshauri tena mbele za watu, Ni jambo la MAANA NA BUSARA SANA. Baadhi ya tulio wengi hatuwezi kabisa!!!
 
hawezi kumshauri kusafiri,ila mi nafurah kama anamshauri maana huo ndo uanaume,kumwacha mwenzio anadhalilika si vizuri,big up uncle ben

KWELI NA KWELI TUPU.umenena yampasayo kunena mtu mwenye hekimana busara. MKAPA ameonesha mfano.
 
Nahisi Uteuzi wa Mangula umetokana na Ushauri wa Ben!

Wakati kikwete anaingiia alimfanyia mkapa...vitimbii sana...ila mkapa alivumilia.....,Baada ya kugundua makosa na kuwa wapambe wanampotosha....na tishioo la chama kumfia ,alianzia kujisalimisha kwa mkapa na kumtumia kwenye kazi Zake za chama na serikali na hata utulivu tunaooona unatokana na maelewano na waliomtangulia...mwinyi na mkapa......
timu hii ya mangula na Kiinana .....ilikuwa timu ya mkapa.....ni watu wasioburutwa....na wenye uwezo wa kumuambia kikwete hapana...pale anapokosea.....jambo ambalo ni muhimu sana .....kwa kiongozi aina ya kikwete
 
Was Mr. President serious? Sina hakika kama nimeudhika au nimechukia au nimepatwa na butwaa. Hivi inawezekana kweli kayasema haya? Kama ni kweli basi chaguo hili si kama tunavyoaminishwa!! LORD HAVE MERCY!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kama ni mpango wa Mzee wetu Mkapa, je amesaidiaje kukuza demokrasia katika mchakato wa uchaguzi huu ndani ya chama na katika siku za usoni kwenye nchi yetu?
 
Mkapa ni Jembe ccm full vipaji na bado sana itaendelea kuongoza
 
Ccm bado hawajajitambua shida siyo viongozi wanao wapenda wao shida ni viongozi tunao wapenda sisi na wanao kubalika mbele ya jamii.
 
With the team of Kinana, Mangula, and the presence of Mkapa, labda LOWASSA aje na Bishop Joshua wa NIGERIA ndo jina lake lipite. Hawa wazee hawawezi kumpa dhaifu mwingine tena nchi.
 
Back
Top Bottom