Nahisi majengo marefu yapo kitaalamu zaidi kwamba hali halisi ya kisiwa haitawezekana. Nadhani watu wa ujenzi kama wapo watachangia kwa mtizamo huu. Lkn. tukumbuke maendeleo si majengo peke yake.
We naona unamaslahi nao hao wezi. Jaribu utembee na gari wakati hujafunga milango halafu taratibu ndio utajua hali halisi huko. Pale kwenye bump ya Officers mess watu wanalia kila mara. Nenda kapunge upepo jioni uone kitakachokutokea utavuliwa hadi suruali. Sio kutishana hivyo ndio hali halisi
Pole sana huko ni balaa. Hata sisi tuko mapinga kuna mwanamke anaitwa Mwanahamisi ni tapeli wa mashamba ile mbaya. Cha kushangaza anatumia majina matatu tofauti katika utapeli wake na watendaji wanamkubalia katika mikataba ya kitapeli. Ukienda polisi utakuta ana kesi tofauti na majina tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.