Unajua hawa walipewa muda gani? Ni wakorofi tu, WABOMOLEWE! Tena na vifusi vidondokee ktk vitu vyao!Mnaoshabikia ubomoaji wa nyumba za watu mjipange yakiwatokea ninyi. Haki za binadamu zizingatiwe ktk kutekeleza maagizo ya serikali. Mbona wakwepa kodi walipewa siku saba? Kwani sheria si ilishakuwepo wangewekwa rupango direct? Mnaonea dagaa, kumbe papa mnawagwaya. Mngeanzia zile za mikocheni na ufukweni kama mko kiuhalisia. Acheni usanii
Hao walishapewa viwanja mabwe pande Kitambi kwahiyo hawalutakiwa kuonekana hapo
Hao walishapewa viwanja mabwe pande Kitambi kwahiyo hawalutakiwa kuonekana hapo
Hii ni sawa kabisa. Hawa hata mahakama ilishawaambia wahame kwa sababu eneo hilo ni hatarishi. I hope ma wezi wa hapo wamebomolewaNawashukuru manispaa kwa kuwabomolea hawa watu wanao sababisha mafuriko....!
Mnaoshabikia ubomoaji wa nyumba za watu mjipange yakiwatokea ninyi. Haki za binadamu zizingatiwe ktk kutekeleza maagizo ya serikali. Mbona wakwepa kodi walipewa siku saba? Kwani sheria si ilishakuwepo wangewekwa rupango direct? Mnaonea dagaa, kumbe papa mnawagwaya. Mngeanzia zile za mikocheni na ufukweni kama mko kiuhalisia. Acheni usanii[/QUOTE
Hawa wa notice ya zaidi ua miaka 3 waliyopewa na mahakama ww hufuatilii. Ulikua kitengo cha maafa nn? hawa mdio wanasababisha mafuriko.
Hata mimi nashangaa kama hawawapi hata siku za kuondoka au ndio hizo alama za X wanaambiwa hawaondoki
Mama Rwakatare nae si alilalamikiwa alivyunjiwa? Maana maeneo take walishapiata au? Na wengine wengi vigogo
Magufuli temeke unakuja lini?bomoa bomoa ije open space zote kauza mtevu akishirikiana na diwani wa kijichi Chale Anderson na Diwani wa sandali Tarimo tunaitaji Bomoabomoa na hatua Kali za kisheria