Afrika ikiwa na maraisi ishirini kama Magufuli

Third Jay

Member
Nov 16, 2015
54
7
Endapo nchi za afrika zitakuwa na maraisi ishirini kama magufuli tutaendeleza haraka bara letu.
 
Ndani ya miaka3 wazungu wepesi(Ulaya mashariki) na Latin America tutaanza pokea shikamoo yao.
 
tumpe atawale 40 yrs...is nonsense ku practice westerners democracy bila kuangalia ni nini mahitaji yetu hasa...we spend a lot on electoral processes. ikiwa kiongozi ni mzuri amend katiba...kisha songa mbele. na sio kupata good leader after 5 year anasepa.
 
Back
Top Bottom