Utashi wa kisiasa umekosekana na ndipo haya tunayoyaona yameota mizizi sasa. Pamoja na CCM kuwa na watu wazuri ambao wangeweza kuwa hazina kiuongozi kwa nchi hii kwa kipindi kirefu kijacho, watawala wanaendesha nchi kwa fitina, kiujanjajanja, makundi, kifamilia na chuki na hapo ndipo jahazi...