Recent content by Mapinduzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania HAMAD RASHID apita bila ya kupingwa

    chadema na cuf hamjakomaa kisiasa. CCM wanaendelea kukusanya ushuhuda kwa ajili ya kuwagaragaza tena 2015.
  2. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba akataa bahasha za milioni moja za "Lunch"

    Kazi za kamati za Bunge huwa zinagharimiwa na Bunge, kuna bajeti ya kufacilitate kazi zao. Hata hivyo kamati zinapokuwa kazini, mfano kutembelea mashirika haya, mashirika yamekuwa yakilipa pia. Kwa hiyo basi, kuna baadhi ya kamati za bunge, walikuwa wanalipwa mara mbili, ikiwamo kamati ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa azungumzia kuanguka kwa Hosni Mubarak

    Mbona kamegwa na wengi mjini, na kiongozi wao, bwana biggy, haumgusi kabisa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hodi hodi kutoka kwa Kiranga

    kaazi kweli
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa azungumzia kuanguka kwa Hosni Mubarak

    kuna kisasi kinachohusiana na mwanamke kati yenu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Why Do We Blame God for Catastrophes? Please Help... What do you Think..

    Basi usimshirikishe Mungu kwa kusema Mungu akijaalia. Sema nisipofanya uzembe nitakuja Dodoma kula zabibu. Hapana, ni mpango wa shetani, anayewaletea watu majaribu ili waende kinyume na anavyotaka Mungu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Why Do We Blame God for Catastrophes? Please Help... What do you Think..

    Nope, hiyo ya Austria na Australia ilikuwa weka facts sawa. Haihusu katika subject. Narudia kuandika anayeamini Mungu, yaani muumini; anaamini kila jambo limepangwa na Mungu, mabaya yote yanayotokea ni majaribu. Muumini hawezi kuquestion 'qadar' - uwezo wa Mungu. Utapojikuta unaquestion hili...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Why Do We Blame God for Catastrophes? Please Help... What do you Think..

    Hapa unadhihirisha kuwa wewe si muumin, waumini hawamquestion Mungu, kila jambo ni mapenzi ya Mungu, mabaya ni majaribu na mazuri yamepangwa. Kwa mantiki hiyo, mchango wako kwenye mjadala kama huu utakuhesabu upande uliosimamia kwa sababu katika mambo ya imani unaweza kuwa moto au baridi, ukiwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Why Do We Blame God for Catastrophes? Please Help... What do you Think..

    Kama sio wewe umeandika, unasimamiaje maudhui ya mwandishi. Ukitaka kusimamia argument hizi kuvaa uhusika hakuepukiki. Kama unamwamini Mungu hutakubaliana na huyu mwanadishi, kama la, basi unakubaliana na mwandishi. Having said that, yeyote anayeamini uwepo wa Mungu anaamini kuwa kila jambo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Why Do We Blame God for Catastrophes? Please Help... What do you Think..

    Mkulima VoR, wewe huamini Mungu na uwepo wake, so huwezi kumlaumu Mungu. Wanaomlaumu Mungu, ni wale wanaoamini kuwa yupo, na imani zao ndivyo zilivyowafundisha.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Serious Business: Nani ana hali nzuri leo; Mtanzania, Mtunisia au Misiri?

    Miaka 50 ya uhuru bado hatuna umeme reliable, na asilimia zaidi ya Watz hawana access na umeme. Kwa nini? Hilo la kuanza nalo, watanzania na wanaharakati tulishikie bango tudemand right ya kupata umeme reliable kwa watanzania wote. Tumechoka kukaa gizani, si enzi za ujima hizi. Hili litazaa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania I miss you

    SyK, Nimemiss sana mathread na mapost yako. Karibu tena.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serious Business: Nani ana hali nzuri leo; Mtanzania, Mtunisia au Misiri?

    haya matukio mwalimu kichuguu hayatokei Afrika bali mashariki ya kati, au tuseme in the Arab world. Tunisia, Egypt, Algeria ni Afrika?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya Hon Mbowe

    Mimi na wewe nani analia lia hapa kama si wewe. Chadema wataendelea kuchemsha miaka mitano ijayo. Hii tone yako kama za dada fulani tuliyekesha kulinda kura zake. Jipangeni, acheni kuropoka na kukurupuka. Mnamtambua JK kama Rais, kama hammtambui mbona mko kimya hamchukui hatua? Kawaulize...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shibuda ageuza bunge sehemu ya mipasho!

    Shibuda kafanya nini hamsemi, mnaponda tu. Shibuda kageuza binge sehemu ya mipasho wakati hujaweka hata mpasho mmoja! Kama nia ni kumponda kwa vile hamuelewi alichosema basi mngeponda tu hapo mbele ya TV bila kuanzisha thread JF. Ina maana mnataka kuongeza number za thread mlizoanzisha na post...
Back
Top Bottom