HAMAD RASHID apita bila ya kupingwa

HAMAD RASHID apita bila ya kupingwa

Haina maana yoyote -- siyo katika zile kamati tatu nyeti zilizogombewa last week.

Hamadi Rashidi mtu mnafiki wa kupindukia. Kwanza nadhani wengi wenu hamna habari kwamba Makinda alimtosa huyu Hamadi Rashidi ambaye ukweli ni kwamba harakati zake zote za hujuma dhidi ya Chadema kumbe alikuwa anaimezea ile kamati ya Mashirika ya Umma -- POC, ile aliyopata Zitto.

Alikuwa amepeleka maombi kwa Spika kuwamo katika kamati hiyo ili baadaye agombee uenyekiti. Badala yake Makinda akampeleka katika ile nyingine aliyopata.

Hamadi Rashidi ni mtu mwenye uchu sana wa madaraka!

Kwa hilo nampongeza Spika.

Kwa watakaouliza source yangu ni swahiba wangu aliyepo katika ofisi ya Spika ambaye alinihakikishia aliiona Fomu ya Hamadi kuomba kuwa katika POC.
Na hili sasa hivi litalipuka katika magazeti.

Nyani haoni kundule
 
chadema na cuf hamjakomaa kisiasa.

CCM wanaendelea kukusanya ushuhuda kwa ajili ya kuwagaragaza tena 2015.
 
Wasio penda maendeleo ya wenzao mlitaka akose!!! ndo kapata sasa na Shibuda nae kapata na Buyogela!
Yaani mama mwenye elimu ya shule msingi wa NCCR anamshinda mbunge wa CHADEMA mwenye degree na uzoefu bungeni hata kujieleza?
Jiangalieni kwanza nyie,acheni kuongalia mapungufu ye wenzenu kwanza!
 
Haina maana yoyote -- siyo katika zile kamati tatu nyeti zilizogombewa last week.

Hamadi Rashidi mtu mnafiki wa kupindukia. Kwanza nadhani wengi wenu hamna habari kwamba Makinda alimtosa huyu Hamadi Rashidi ambaye ukweli ni kwamba harakati zake zote za hujuma dhidi ya Chadema kumbe alikuwa anaimezea ile kamati ya Mashirika ya Umma -- POC, ile aliyopata Zitto.

Alikuwa amepeleka maombi kwa Spika kuwamo katika kamati hiyo ili baadaye agombee uenyekiti. Badala yake Makinda akampeleka katika ile nyingine aliyopata.

Hamadi Rashidi ni mtu mwenye uchu sana wa madaraka!

Kwa hilo nampongeza Spika.

Kwa watakaouliza source yangu ni swahiba wangu aliyepo katika ofisi ya Spika ambaye alinihakikishia aliiona Fomu ya Hamadi kuomba kuwa katika POC.
Na hili sasa hivi litalipuka katika magazeti.

Hii mie niliipata nikiwa Dom last week ingawa kwanza sikuiamini. Kumbe hangaika yake yote hiyo ni kutaka achaguliwe kwenye POC? Aibu kubwa hii -- ngoja tuone magazeti.
 
Hii mie niliipata nikiwa Dom last week ingawa kwanza sikuiamini. Kumbe hangaika yake yote hiyo ni kutaka achaguliwe kwenye POC? Aibu kubwa hii -- ngoja tuone magazeti.

Jamani hebu tukumbushane yaliyotokea mapema 2001. Huyu Hamadi Rashidi aliteuliwa ubunge wa wa kuteuliwa na rais (Mkapa) chini ya miezi miwili baada ya polisi wa Mkapa kuua makumi ya wana-CUF huko Pemba. Ilikuwa ni hongo? Kwa nini alikubali uteuzi -- maana kukubali kwake uteuzi huo, alikuwa anamaananisha kwamba wale waliokufa walikufa in vain. Hamadi alianza usaliti na kuonyesha uchu wa madaraka tangu zamani.

Hata hivyo ni viongozi gani wakuu wa CUF waliongoza maandamano hayo? Kwa ujumla viongozi wote wa kitaifa waliwatosa wafuasi wao -- waliogopa kufa. Hata juma Duni, shujaa wao mkuu katika kukabiliana na CCM hakuwapo! Maalim Seif alikuwa majuu anakula kuku!

Ni tofauti na Chadema kule Arusha -- viongozi wote walikuwapo.
 
Back
Top Bottom