Recent content by maphie

  1. maphie

    Tanzania: The Legacy of President Jakaya Kikwete (2005-2015)

    "BMW" yawezekana kuwa ndolegacy ya ------ mwenzangu'; angalia haya, mama yuko na WAMA, mtoto, nasikia sina uhakika ni mbia wa Lake Oil and campanies, baba ndo mfanya biashara pale ambapo mzee nyerere alipaita patakatifu! Legacy hapa ni maslahi kwanza kwa "Baba, Mama na Watoto" (BMW)
  2. maphie

    Tufurahi pamoja.....leo @Madame B nimetimiza mwaka Hapa JF.

    Hbd kwa mwaka mmoja Jf! Tumefurahi kuwa na wewe, mwaka mwingine ujao ongeza maarifa zaidi
  3. maphie

    Dr. Bana, Kwa upinzani wako kwa CHADEMA, sasa tumejiandaa kuipinga ripoti ijayo ya REDET yako!

    PhD zingine hazina tofauti na uganga wa kienyeji! Poor Bana
  4. maphie

    Waarabu wa Didia wamshangaza Kamanda Mawazo

    Kavurugwa wapi HEAVEN ON EARTH?:couch2:
  5. maphie

    Wekeni ITV IBADA YA KUMUAGA DK MVUNGI

    Hakika kwa mara ya kwanza nmeshindwa kuzuia hisia zangu wakati nikfuatilia wasifu wa gwiji wa mageuzi Tz! Lala kwa amani dr Mvungi
  6. maphie

    Japo Dunia ya Wanaume,Mwanamke Kushindwa Maisha Ni Kujitakia Na Uzembe Binafsi!!!!!!!!!!!!!!

    'Baada ya uumbaji wote, mungu alifikiri sana na akasema "tuumbe mtu kwa mfano wetu" Hapa ndipo Adamu alipoumbwa! Hata hivyo Adamu alionekana kuwa na huzuni na mungu akawapitisha wanyama wote na vyote katika dunia na Adam akavipa majina lakini bado hakuonekana kuchangamka n ndipo mungu akampa...
  7. maphie

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    Former German Boma in Arusha.
  8. maphie

    Watanzania kwa mapenzi tunatisha.

    Wakati wa kulala; UK, g9t my queen US, sleep tight baby Bongo, Mama nanii.. umefunga mlango?
  9. maphie

    "Akumbukwe hayati Baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere", Weka comment hapa!

    Mtu mkweli na aliyeishi kile alichokiamini! Hajapata mrithi mpaka leo
  10. maphie

    "Nasubiri kwa hamu maandamano ya CHADEMA Moshi"!

    Ni aibu kubwa chama kikongwe kama CCM kuwa na katibu mwenezi anayefikiri kwa namna hii; Kweli katibu mwenezi wa CCM analeta hadithi za kombolela? CCM kwishinee!
Back
Top Bottom