Recent content by mapendo daima

  1. M

    Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Uko bize unangalia TV alafu anakuja mtu anakuuliza vp unangalia TV? Jibu hapana TV ndo inaniangalia mm
  2. M

    Maswali ya kijinga na majibu ya hasira. Ongeza na ya kwako

    Uko na mawazo kibao baada ya umeme kukatika then unawasha jenereta,jirani yako anakuona unawasha jenereta na anakuuliza naonanunawasha jenereta,.... Jibu hapana nawasha transfoma
  3. M

    ISIS (Islamic State), kulikoni?

    Kimsingi hapo kuna kitu tunatakiwa kukifaamu ambacho kinaitwa public security (ps).public security ni kitu kipana sana ambacho kama nikiamua kukizungumzia basi itanilazimu nifungue uzi wake.ila ntagusia kidogo tu. Kuna mbinu nyingi ambazo viongozi huzitumia katika vipindi vya utawala wao.njia...
  4. M

    Bila kushikwa mkono sahau kupata kazi sehemu hizi!!!!

    Wanafunzi wengi tunajisahau tukiwa vyuoni mana tunaelekeza nguvu kwenye kusoma tu bila kutambua kwambwa mwisho wa siku kama ni cheti kila mtu atakuwa nacho na kitakachomata ni who u know. Io sio TZ tu mbaka nchi kazaa za ulaya mpango unaenda ivo ivo
  5. M

    Bila kushikwa mkono sahau kupata kazi sehemu hizi!!!!

    Connection ni muhimu kuliko chet
  6. M

    Vigezo vitumiwavo katika kubadilisha thamani ya fedha kati na nchi moja na nyiingine

    Habarini wanajamii wenzangu! Kwa muda mrefu nimekuwa nikijiuliza ni vigezo gani vinatumika katika kubadilisha thamani ya Pesa ya nchi moja na nyingine kwa mfano tunaposema dola moja ya kimarekani =2000 tsh tunakuwa tunatunia vigezo gani? Naomba kujuzwa wanajamii wenzangu.ni hayo tuu
  7. M

    Biomedical engineering vs instrumental engineering vs innovation engineering

    Habarini za majukumu wadau! Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika fani ya biomedical engineering. Lakini kutokana na upepo wa nchi unavyikwenda nilikuwa nafikilia kubadilisha hii kozi na nisome innovation engineering katika branch ya quality and innovation in project management. Sababu...
  8. M

    Biomedical Engineering

    Habari za kazi ndugu! Mi ni mwanafunzi wa Biomedical Engineering niko mwaka wa pili na nikiingia mwaka wa tatu inabidi nichague upande ambao nitaendelea kusoma medical devices, nikiwa na maana ya kutengeneza na kudizaini au tissue engineering. Nilikuwa naomba maoni yako kujua ni upande upi...
  9. M

    Kozi za Uhandisi zinazolipa Tanzania

    Acheni kudanganyana bwana kozi ya engineering ambayo inalipa kwa tz ni biomedical engineering. Hii kitu ni noma mana inameza pia makozi kibao ya engineering.mechaninics,electronic, pharmacy, na madude kibao ndani ya kozi moja tu.hapo ndo mwisho wa habari.but tz hawatoi degree yake.ila...
Back
Top Bottom