Kukimbia kwa Putin, Siri imefichuka

Kukimbia kwa Putin, Siri imefichuka

Ukiwa unaoga uswahilini na akapita chizi na akakwapua taulo lako na kuanza kukimbia nalo,pindi ukitoka na kuanza kumkimbiza then watu watakucount na wewe ni chizi so better tumuache chizi aendelee na uchizi wake.

Hivi mod watoto mbona wanaingia wengi JF bila kufata maadili?Naomba liwekwe jukwaa la watoto ili liwe special kwa mtoto kama huyu alieleta mada
 
Mtoa mada ulitakiwa kupitia CV za ao viongozi ndio uje na uo mtazamo wako..ila inawezekana hukupata uo muda au nafasi ya kupitia status za ao jamaa...uo moto wa Putin acha kabisa anajiamini katk vyote sio siasa tu ata ukitaka kavu anakusanya uyo Tony na Obama na wengine kama watatu hivi
 
Imefahamiki viongozi wa mataifa ya G-20 hawajakasirika kwa kitendo cha rais wa Russia bwana Vladimir Putin kuvunja protocal kwa kuondoka kabla ya muda unaotakiwa katika mkutano wa viongozi hao uliomalizika huko australia, bali viongozi hao wanamlaumu waziri mkuu wa Australia bwana Tony Abbott kwa kusababisha hali hiyo.

...........
Pamoja na jitihada za Putin mwenyewe na kumtegemea Rais wa China kusawazisha mambo lakini Rais wa China hakuonekana kujali sana sababu wachina pia walikuwemo kwenye ndege aliyoidungia putin huku PM Tonny akiendelea kusisitiza kipondo kiko palepale.

.......
Sasa kila kiongozi anamlaumu Tonny kwa kukosa busara katika kuamua mambo.

Nani aliidungua ndege ya Malaysia?

Bofya link Malaysian Airlines MH17 Downed by Ukrainian Military Aircraft. Kiev Regime False Flag | Global Research
 
Ilikuwa vikao vikiisha ndo kinukishwe lakin putin akasepa mapema kwa woga

Nani kakuamia Putin kaondoka kwa kwa sababu ya kuogopa mtu.
nadhani wewe umeanza kumfahamu putin jana kwenye hicho kikao , na pia nakushauri jifunze tabia asilia za wa rusi duniani ndo utajua hao jamaa ni akina nani katika dunia hii yuliyopo.
 
Hii c kinyago cha hivi hivi mpaka uchongewe kinyago cha kumbukumbu na heshima ktk medani fulani sio masihara
 

Attachments

  • 1416331545110.jpg
    1416331545110.jpg
    6.5 KB · Views: 761
Za kuambiwa changanya na za kwako, putin alikuwa amechoka?! Yaani viongozi wote pale yeye tu wakuchoka eti! Na aliyetoka washington->china->myanmar->australia je? Jibu unalo.
Putin alikuwa na safari ndefu?! Hivi australia to russia na australia to england ama australia to USA wapi mbali? Jibu mukichwa chako, putin anawahi kazini?! Wale waliobaki ni jobless eti! Yaani ziara zote alizowahi kufanya ikiwemo na hii mikutano ya G-20 alikuwa anakaa hadi mwisho iweje hii ambayo ilikuwa hatari ya yeye kupigwa atoke kabla eti anawahi kazi?! Jibu kwa ubongo wako.
Najua ilikuwa vigumu kwa putin kuweka wazi ndo maana akatumia visingizio[/QU
Wacha porojo ww.ivi unajua kutoka vladivostok( far eastern russia) to moscow ni umbali gani? Hayo masaa tisa anayosema ni bila kupumzika yani direct.plus ukizungumzia russia hupaswi kuifananinsha ni vinchi ulivyo vitaja.hii nchi ni kubwa bwana
 
Isije ikawa unamlinganisha fungo na simba.!
 
Puttin? Labda Puttin wa Mbagara kiongozi wa panya road ndo alikimbia kipondo cha Kova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom