Recent content by Mapato55

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa Kuwa Spy bila kupitia Jeshi??

    spy ni tofauti na Informer.
  2. M

    JamiiForums Tanzania RPC wa Geita apandishwe cheo kwa kujua kutangaza wanaojinyonga

    stress ni Mbaya sana sasa hivi ni usiku hang over imeanza mapema hivi hiyo jumatatu utaingia kazini kweli? anafanya kile awezacho siyo utakacho Ova. Yule Mupe Yule Muruke.....
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa Kuwa Spy bila kupitia Jeshi??

    haiwezekani hata kidogo maana spy ni kwa ngazi ya utaifa hivyo ni wateule wachache walio iva hasa kuanzia utimamu wa fikra na mwili.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka na Dharura wadau

    Tatizo lilikuwa la Kifamilia nilikuwa nauguza Mzazi wangu
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka na Dharura wadau

    umejuaje au upo na huyo ndugu yangu wa karibu kwenye chama kimoja?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka na Dharura wadau

    hazikinzani zipo wazi ni kwamba sasa tangu july 2020 hadi sasa bado nangojea majibu ya maombi ya kurudishwa kwenye Payroll kama itakubalika au la, hivyo nipo na endelea kusubiri
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka na Dharura wadau

    Mimi ni kijana na hadi leo nimetazama nakala ya Cheti changu cha kuzaliwa nitatimiza miaka 31 mapema mwezi March lakini jambo la kushangaza mipango yangu inazunguka nainuka kwa muda kisha narudi tena kuanza moja maisha yangu hayaendi mbele. Ipo hivi. Nilihitimu Chuo cha Mafunzo ya ualimu kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya kikazi kwenye anuani ya mpokeaji huwa tunaandika jina?

    Tena imeandikwa kwa herufi kubwa yaani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Japo ni mwana Simba SC kwa 100%, ila Mo Dewji nisikufiche Unatuchanganya mno wana Simba SC wenye Akili kwa Kauli zako zinazochanganya

    kuna Kukata tamaa kwa kauli alizozisema hapo Anaendesha timu kwa Hasara ni uwekezaji upi usio na hasara? hasara haiepukiki lakini inaweza kupunguzwa awe jasiri ili aendelee kuitwa Mo winginevyo tutamuitwa Kaka MUDI.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa OR-Menejmenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

    kwako Mheshimiwa Waziri;Jenister Mhagama, Hongera kwa kuendelea kuaminiwa na kushika nyadhifa muhimu katika Kutenda maamuzi muhimu ndani ya serikali yetu ya JMT, dhumuni la Ushauri huu ni kuelezea mambo muhimu ili kuleta ufanisi kwenye utendaji na utoaji wa huduma kwa wananchi pasi na kuweka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwandishi Emmanuel Chacha wa ITV afariki dunia. Amefariki ghafla akiwa jijini Mwanza

    RIP Tutaonana Asubuhi ile njema yenye utukufu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Muda gani huchukua kukubaliwa kurudi kwenye utumishi wa umma?

    Ndugu waungwana, nakuja mbele yenu ili kuomba msaada wa haraka na nini nifanye mapema mwaka 2014 niliajiriwa kama mwalimu katika halmashauri moja hapa nchini Tanzania. Hata hivyo, kwa kupatwa na tatizo lililo nje ya uwezo wangu nilipata matatizo yaliyopelekea kuondolewa kwenye mfumo wa malipo...
Back
Top Bottom