Recent content by mapaja

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mliokosa updates za diamond..heaven on desert nimerudi

    weka mambo wachana na haters,ila napenda kujua wale dancers wa diomomnd majina yao
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mliokosa updates za diamond..heaven on desert nimerudi

    kumbe hata na wewe ulianza kwa kuajiriwa so muache kijana nae aajiriwe,what ua suppose to do nikumshauiri nae sikumoja ajiajiri awe kama wewe.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mabilion ya hela yana potea tra mpoo,

    Kwa uchunguzi wangu mdogo duka la kamaka liliopo barabara ya mandela opposite na t.o.t,wanauza vifaa vya ujenzi bila kutoa tra risiti ,ushahidi ninao naomba tra wafuatilie waache kulumbana na vi hotel na migahawa,wakitaka ushahid nitatoa contact zangu na document.dduka linauza sana,please tra...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maofisa TRA wazungumzia sababu ya makontena kulundikana bandarini

    HSC,,,,,, ni mabingwa wa kubadilisha ma clearing agent,mara EAGLE,LONE ,RED WAYS. NAWN ENGINE KIBAO
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maziwa

    Habari wana jf.mimi nina tatizo lakupenda maziwa fresh,naweza kunywa hata lita tatu kwa siku au zaidi ya lita tatu,mara nyingi nakunywaga yale box,au pakt naomba kujua side effect ya unywaji sana wa maziwa.thanx
  6. M

    JamiiForums Tanzania TRA wajiandaa wenye nyumba za kupanga sasa walipe kodi

    dah hii itaumiza wapangaji coz burden itakua kwa walala hoi ,maana nyumba zitapanda bei balaa labda waweke exemption kwa kima fulani cha garama ya pango wasilipe hyo kod
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua gari naomba ushauri!

    nakushauri ununue runX ni nzuri na itakupendeza sana nenda pale TZCARS karibu na makutano ya moroko ka unatokea mwenge mkono wa kushoto,very cheap mdau
  8. M

    JamiiForums Tanzania kamata mkoko kwa 10 milion

    Kampe babu yako kijijn mkuuu,au uza kwa 3m
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 2)

    Jamani hii nchi bora nipewe mimi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mzee mfugale na peacock hotel

    Huyu mzee hafai akiona staff amenunua gari tu anaanza maneno mpaka anamfukuza bila kujua kuna staff wana miradi yao,pia ni bingwa wa kukwepa kodi kwa style yake ya peacock 2,yaani data za kodi zinaandaliwa upya na special staff kwa ajili hyo tu,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mzee mfugale na peacock hotel

    damasi mfugale ndio alienda kusoma mambo ya hotel
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jamani malaria.

    pole mdau nenda kwa wachina
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mzee mfugale na peacock hotel

    jamani wadau huyu mzee mfugale ni mkandamizaji vibaya kuna wafanya kazi wamefanya wamefanya kazi peacock hotel zaidi ya miaka kumi lkn juzi gafla kaja na mikatba mipya et wafanyakazi wote wa saini contract kwamba wapo kwenye probation period,staff wengi waligoma kusaini basi akasema ambae hata...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hawk 777----------dstv

    umesomeka
Back
Top Bottom