Recent content by manyonga

  1. manyonga

    PreGE2025 CCM waweka ukomo nafasi za Ubunge na Udiwani Viti Maalum, waja na kauli mbiu mpya

    Kwanini tunapenda kushtukizwa? Ndio maana hata leo Mhe Rais kawaambia wateule wake "kama unautaka kule sema mapema tujue" maana yake uelewa wa jambo mapema inatoa mwanya wa ufahamu, na kutoa maoni kwa mstakbali mwema wa maendeleo. Ni muda sahihi mimi naona kwa mtazamo wangu
  2. manyonga

    KERO Responded Wafanyabiashara Soko la Bukoba wametakiwa kupisha ujenzi lakini hakuna mazingira rafiki waliyowekewa

    Jambo likiachwa bila kujibiwa laweza kuonekana kuwa ni kweli. Kutokana na kero iliyotajwa na mdau hapo juu, naomba kwa ufupi niweke sawa mambo kadhaa; Bukoba Manispaa ni miongoni mwa halmashauri zinazoenda kunufaika na miradi ya Tactic inayoendelea katika maeneo mbalimbali nchini kama majuzi...
  3. manyonga

    DOKEZO Responded Hii 'Night Club' iliyojengwa kwenye eneo la hifadhi ya Mto Kanoni - Bukoba, sio salama kwa Watu, nani ametoa vibali?

    Mwaka 2014 wakati wa tathmini ya mradi wa LVEMP ilionekana nyumba zaidi ya 300 zipo ndani ya mita 60, unapata wapi fedha za kubomoa nyumba 300 ulipe fidia, sasa mradi wa Tactic ni mkombozi kwa kujenga kingo za mto bila kuhatarisha makazi ya watu walio wengi. Mradi utaangaliwa unahitaji mita...
  4. manyonga

    DOKEZO Responded Hii 'Night Club' iliyojengwa kwenye eneo la hifadhi ya Mto Kanoni - Bukoba, sio salama kwa Watu, nani ametoa vibali?

    Hizi ni ngonjera tu. Ujio wa mradi wa Tactic katika eneo la mto kanoni yaani kujenga kingo maana yake ni kuondoa changamoto za mafuriko mjini Bukoba. Mto Kanoni unapita kwenye kata zaidi ya 7 ikiwemo Kagondo, Rwamishenye, Nshambya, Hamugembe, Bilele, Bakoba na Miembeni kati ya kata 14 zilizopo...
  5. manyonga

    DOKEZO Responded Kituo cha Afya Zamzam (Bukoba) kuna huduma mbovu, Watumishi wanatengeneza mazingira ya Rushwa

    Pole sana kwa kadhia. Lakini nashauri ili mamlaka ziweze kushughulikia vizuri pia ungewapa muongozo ikiwemo tarehe uliyohudhuria pale kituoni ili iwe rahisi kushughulikia. Na hii itasaidia kutowajumuisha kila mmoja, sio kwamba wahudumu wote wana shida hivyo tusiwakatishe tamaa kwa kugeneralize...
  6. manyonga

    Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa IPU kwa kishindo, apata kura 172 kati ya 303

    Hongera sana Spika wetu kura 172 /303 sio mchezo. Hii ni imani ya wajumbe kwako na kwa Tanzania
  7. manyonga

    Watanzania tumuombee Dkt. Tulia Ackson Mwansasu ashinde Urais wa IPU

    Hongera Mh Dr. Tulia kwa ushindi mnono , kura ulizopata ni ishara ya imani ya wajumbe kwako. Kura 172 /303
  8. manyonga

    Ufugaji samaki kwa Vizimba (Cage Fish Farming)

    Ahsante kwa andiko zuri, hicho chakula ulichoandika ni kwa muda gani yaani kwa siku, mwezi au miezi kadhaa?
Back
Top Bottom