Recent content by Manyema

  1. Manyema

    JamiiForums Tanzania Jamiiforums.com Inapatikana Bila VPN kwakutumia Operamini

    Kifupi JF inapatikana bila VPN kwa browser yeyote siyo Opera tu. Ni kama wameifungua hivi na hali iko hivi kwa siku kadhaa sasa kama tatu nne hivi
  2. Manyema

    JamiiForums Tanzania Usafirishaji hatari wa Tv kuanzia Inch 60

    Hii kitu mbona kawaida sana, unaona TV online, unachagua mnapatana bei na muuzaji. Mzigo unafungwa kwenye bodaboda huo mpaka kwenu Kimara, ukifika TV inatolewa inafanyiwa testing kila kitu kiko sawa unamlipa bodaboda hela ya Tv anasema. Kama kuna issue yeyote kwenye TV au kama ni tofauti na...
  3. Manyema

    JamiiForums Tanzania Unatumia VPN gani?

    Ni vigumu sana kuzuia VPN, zina bypass hadi barriers za wachina ndiyo ije iwe bongo hii
  4. Manyema

    JamiiForums Tanzania Simba SC kwenye ligi kuu mpaka leo tarehe 12 May 2024

    Unajua Mpanzu alianza kucheza lini au una piga porojo tu? Kwa nusu msimu aliyocheza hizo takwimu zinambeba sana, ukizingatia team mpya ligi mpya
  5. Manyema

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa cheo ni dhamana kaka, jifunze kuheshimu kazi na maamuzi ya wengine

    Lakini hizo barabara za mwendokasi si zimetengenezwa kwa zege kali, ambapo ni imara zaidi ya hizi lami za kawaida. Sasa iweje malori kupita kwa muda mfupi zipasuke tena, nadhani hoja hapo ni ubora wa barabara zenyewe za mwendokasi na si malori kupita humo. Kitonga pale mlimani lami ilikuwa...
  6. Manyema

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

    Nikiri kuwa mm ni mmoja wa wanufaika wa hizo activities za hao watu wa NGO, ingawa sifanyi kazi huko. Ila naona hali inaenda kuwa ngumu aisee, maana kuna workshops kadhaa zimeshakuwa cancelled hapa ni utata
  7. Manyema

    JamiiForums Tanzania Ku collapse Clouds FM, Ni effect ya Ruge au tamaa ya Kusaga?

    Huu ndiyo ukweli mchungu, maana ukichek hata matangazo ambayo ndiyo chanzo kikubwa cha mapato kwenye hizo radio na TV, yanapelekwa zaidi kwa chawa sikuhizi wakina Mwijaku, Babalevo, Dotto magari na watu wengine maarufu kwenye jamii. Social media is a game changer
  8. Manyema

    JamiiForums Tanzania Wanaume tukumbushane kidogo mbinu za kivita Kula wademu wenye kazi na mishahara mikubwa

    Vijana mna lugha ngumu sana manina, huwa nikiona wife anatoka home sometimes nawaza sana basi tu maisha haya
  9. Manyema

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Wanazingua hao hakuna hela imeingia..
  10. Manyema

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Hili shimo barabara ya Dodoma hapa stand ya Dodoma mjini Morogoro hamulioni?

    Huyo mama yenu alimtoa engineer wa ukweli, ameuweka mpemba mwenzake... kazi mnayo
  11. Manyema

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    na NBC aisee kila wakati nachungulia hapa, ni mateso
  12. Manyema

    JamiiForums Tanzania Ruto kampa live Raisi Samia na demokrasia fake

    Ww utakuwa uko kwenye period siyo kwa povu hili, pumba pumba ushudu mtupu
  13. Manyema

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Samia yafika kwenye vyombo vya habari vya kimataifa

    Aliongea kwa kupanic sana huyo mama, anawavimbia wakati kila leo anapita na bakuli lake kuomba omba huko kwao
Back
Top Bottom