Elimu haina mwisho wanaokutisha hawajielewi,, komaa tu, weka dhamira thabiti, weka muda wa kutosha, punguza unnecessary issue na mungu Atakusaidia unatoka,,, naamin nia unayo, sababu unayo na uwezo unao SO GO AHEAD,,, ALWAYS DO WHAT NAFSI YAKO INAVYOKUELEZA HAWA WENGINE WAZUSHI WAPO KUKATISHA...