Recent content by manyanga21

  1. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Arudi kwa mzazi mwenzie baada ya miaka 15 ya ndoa

    Kwani cocastic upo kundini
  2. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Dereva wa taxi mtandao (bolt,uber n.k)

    Mimi ni dereva mzoefu mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 2. Kwa sasa natafuta gari la mkataba au la hesabu kwa ajili ya kufanya kazi za Uber na Bolt.nina account ya bolt nk Pia niko tayari kufanya kazi kama dereva binafsi kwa mtu au kampuni. Kwa mawasiliano zaidi, tafadhali wasiliana nami kupitia...
  3. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Door sealer,raba za kuzuia wadudu mlangoni

    Kuna mzigo wa Door Sealer upo godauni la Silent Ocean unahitaji mtu wa kuuchukua haraka. ‎ ‎📦 Mzigo tayari upo godauni👉s silent ocean zipo pic 60 Unachotakiwa kufanya ni kulipia . binafsi nimeshindwa kulipia kwa sababu ya pesa kubwa ili kuutoa💰 nimepata changamoto nimeshindwa kuutoa,mwenye...
  4. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Mashine (ya kisasa )ya juice ya miwa inatumia umeme

    Specification zake 1.size 48*38*78 2 voltage 220/50hz 3. Three crushing rollers 4.material (Stainless) 4. Ipo na 3HP electric motors. 5. Uwezo 300kg kwa saa.bei 1,400,00 Ipo mtoni kijichi, mashine ni mpya kabisa
  5. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Gari lililowahi kumilikiwa na watu wengi eneo fulani utakapopita nalo linahitaji moyo kulifurahia

    Hali ilivyo sasa kupata gari jipya ni ngumu sana, wengi tunapata used ndugu mwandishi angalau ungependekeza tujitaidi kutafuta used from Japan ambayo haijatumika sana ila used za kibongo ni hatari,gari imesha shusha engine zaidi ya mara mbili ila unambiwa ni used as new, mbaya zaidi gari zenyewe...
  6. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Napitia changamoto kubwa, mke wangu anachanganyikiwa!

    Kwa maelekezo yako mafupi,binafsi naona ana kitu kinachoitwa sonono,hali ya kutokubaliana na jambo lililotokea ile simanzi ya kumpoteza mtoto bado inamuumiza na Ndio inayomfanya hawe mtu wa jaziba,lawama, anahisi dunia imemkatili ni vyema kama ukimtafuta daktari wa akili
  7. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza mashine za mbao

    Mashine ya kukata mbao bei gani
  8. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri

    Nipo dar, unaweza kunipatia mawasiliano yake
  9. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ushauri

    Msaada nina honda fit first generation, gari inamiss na kuishiwa nguvu kisha inazima na kuwaka taa ya check engine na taa ya betri baada ya muda inawaka , changamoto inaweza kuwa nini wajuzi na wazoefu Nilipotazama feni ya ac haiwaki,ila feni ya engine inawaka fundi akanishauli nisitumie ac...
  10. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au kuwa winga wa bidhaa moja tu?

    Komaa na kimoja hakikisha unakijuwa inje ndani vingine viwe kama nyongeza
  11. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Bajeti yangu ya Milioni 5, nahitaji gari iwe kuanzia namba C iliyo karibu na D na kuendelea

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji moja kati ya gari hizi Toyota vitz, Old au New model Suzuki swift Old au New model Mwenye ist na rastic anakaribiswa bajeti yangu ya 5M nahitaji gari iwe kuanzia namba C iliyo karibu na D na kuendelea. NAITAJI MMILIKI WA GARI SIO DALALI...
  12. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Nauza Mashine ya kukamua na kuchuja alizeti no 120

    Nauza Mashine ya kukamua na kuchuja alizeti no 120 ,umeme stree phrase, tani 6.5 per 24.bei 26,500,000 ,napatikana kwa namba 0713503753 tupo dar es salaam
  13. manyanga21

    JamiiForums Tanzania Sitosahau

    Ulimwengu umetawaliwa na nguvu ambazo hazionekani ila zipo
Back
Top Bottom