Recent content by Manyaagawe

  1. M

    JamiiForums Tanzania Waalimu shule binafsi na serikali waanza kuvutana

    Mkuu namba 1 na namba 2 hapo siyo kwa nchi nzima labda huko kwenu, kwa udhoefu wangu walimu wa shule binafsi wamekuwa wakishiriki katika usimamizi hadi kusahihisha. mbaya zaidi mwaka jana kulikuwa na malalamiko ya kuchukuliwa walimu wengi wa shule binafsi kusahihisha mtihani wa kidato cha nne na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza viwango vipya vya alama za ufaulu elimu ya sekondari

    Wana JF naomba ufafanuzi kwa aliye na maelezo mazuri, division 5 itapatikanaje? je 0 imefutwa?:help:
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba moja wapangaji wengi

    mkuu umeongea ukweli, unakuta midomo imeng'ang'niana utafikili mapacha walioshikana:*
  4. M

    JamiiForums Tanzania Operesheni ya okoa maliasili

    :frusty: operesheni ya okoa maliasili ni operesheni inayoendeshwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama hapa nchini kwa maeneo yote yaliyo na hifadhi za wanyama na misitu. baadhi ya watu ambao wamekuwa wakitajwa kujihusisha navitendo vya ujangili ni watumishi wa idara ya maliasili, polisi na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania ukisoma vyuo private fursa hizi lazima zikupite

    empari na amagosi >wamwita kimo ni kuti wamswela
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Ndivyo Watoto Watakavyozaliwa Miaka Ijayo

    mbona watakuwa na elimu tena level ya shahada!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za Kuoa/Kuolewa na Mtu wa Shift za Usiku...

    ina changamoto sana rafiki yangu aliachana na mkewe kwa kesi kama hyo, jamaa shift za usiku haziishi demu hataki kulala peke yake, dem akasema kwa vile siitaji kukusaliti katika penzi bora tuachane nitafute asiye na kazi za namna hyo.
Back
Top Bottom