Operesheni ya okoa maliasili

Operesheni ya okoa maliasili

Manyaagawe

Member
Joined
Oct 20, 2013
Posts
7
Reaction score
3
:frusty: operesheni ya okoa maliasili ni operesheni inayoendeshwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama hapa nchini kwa maeneo yote yaliyo na hifadhi za wanyama na misitu.
baadhi ya watu ambao wamekuwa wakitajwa kujihusisha navitendo vya ujangili ni watumishi wa idara ya maliasili, polisi na wanasiasa.
Shabani Tambiko Obama ni diwani wa kata ya mbuga kupitia ccm tarafa ya mwaya wilayani Ulanga mkoani morogoro, diwani huyu anatuhumiwa kujihusisha na ujangili na alivyosikia wanaume wameingia diwani akapotea ndani ya wilaya. Tarehe 25/10/2013 alinaswa akiwa amejificha mang'ura wilayani Kilombero jamaa wamempa kichapo na kumfikisha polisi kufunguliwa mashita.

Pamoja na operesheni hiyo kuwahusu majangili wa meno ya tembo na mbao, wajeda wamekuwa wakipiga watu ovyo ovyo na kupora watu pesa hasa wasafiri.
Mytake: kama biashara hiyo haitakoma kuanzia ngazi za juu za Serikali, pesa za walala hoi zitakuwa zikitumika kuwalipa watu posho ambao wanafanya kazi isiyokuwa na matunda.
 
Last edited by a moderator:
:frusty: operesheni ya okoa maliasili ni operesheni inayoendeshwa na vyombo vyote vya ulinzi na usalama hapa nchini kwa maeneo yote yaliyo na hifadhi za wanyama na misitu.
Baadhi ya watu ambao wamekuwa wakitajwa kujihusisha navitendo vya ujangili ni watumishi wa idara ya maliasili, polisi na wanasiasa.
Shabani tambiko obama ni diwani wa kata ya mbuga kupitia ccm tarafa ya mwaya wilayani ulanga mkoani morogoro, diwani huyu anatuhumiwa kujihusisha na ujangili na alivyosikia wanaume wameingia diwani akapotea ndani ya wilaya. Tarehe 25/10/2013 alinaswa akiwa amejificha mang'ura wilayani kilombero jamaa wamempa kichapo na kumfikisha polisi kufunguliwa mashita.

Pamoja na operesheni hiyo kuwahusu majangili wa meno ya tembo na mbao, wajeda wamekuwa wakipiga watu ovyo ovyo na kupora watu pesa hasa wasafiri.
Mytake: Kama biashara hiyo haitakoma kuanzia ngazi za juu za serikali, pesa za walala hoi zitakuwa zikitumika kuwalipa watu posho ambao wanafanya kazi isiyokuwa na matunda.

acha wafanye kazi yao, wapumbuvu wote wale wanaoua tembo. Akili yao ndogo
 
acha wafanye kazi yao, wapumbuvu wote wale wanaoua tembo. Akili yao ndogo hawataki kuhusisha akili yao kutafuta maisha
 
Back
Top Bottom