Recent content by Manvel

  1. M

    SSD ipi kati ya hizi pichani inaendana na desktop yangu

    iyoo ya kwanza ni gen 3. iyo ya pili ni gen 1. zote zitafunga bila shida. ya pili ipo slow. ya kwanza pia itafunga lakini itakua na slow speed kutokana na slot ya mother board yako ni gen 1 so itakua slow ingawa SSD ina uwezo mkubwa
  2. M

    Fixed matches ni ukweli au janja janja?

    google editing betpawa betslip utanishukuru
  3. M

    Fixed matches ni ukweli au janja janja?

    kuwa makini na wahuni. hamna code zenye odds za uhakika. jaribu googling kuna video inaonyesha jamaa anaedit bet ya BetPawa
  4. M

    Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    walikaidi maagizo ya askari polisi walipokamatwa
  5. M

    Ni hatari kwa mwanaume kamili kukubali majadiliano na mwanamke asiye na akili atakupoteza

    daaah kiongozi una akili kubwaa sanaa. nimesoma mara 10 ulichoandika. umenipa fundisho kubwa sanaa kwenye mahusiano yangu. nilikua nafeli padogo sanaa
  6. M

    Matumizi yangu Juni

    hamna bana labda kama ni petrol V8. natumia Pajero V6 3000cc nakaa Goba kazi Posta nachoma 600k
  7. M

    Matumizi yangu Juni

    gari ikiwa nzma na ni gari ndogo 180k misele ya kazini home inatosha sanaa.
  8. M

    Inawezekana ndege kutumia dakika 5 kutoka Dar-Dodoma?

    Nadhani anaongelea ndege za kivita zinazokimbia mfano MiG ya Urusi inayofika Mach 3.2 ambayo ni 2000km/hr
  9. M

    Wenye VW Touareg naomba msaada wenu hapa

    safari ya Dar to Kigoma via Singida Tabora km 1400 spidi 120-140 vipande vingi Pajero 3000cc V6 ikiwa na watu wazima 5 na mzigo mzito nilitumia 180litres. same Car Dar to Arusha 500km nilitumia full tank lita 85. cheki MAF,badili Air Cleaner na plugs. Pia fanyia gari wheel alignment na wheel...
  10. M

    Pamoja na kumjali sana lakini hamna kitu

    big brains. umeongelea from experience mkuu
  11. M

    Swali gumu sana kwenye mahusiano mapenzini

    tutaenda linda pamoja
  12. M

    Ulivyoagiza gari yako spare key uliikuta sehemu gani?

    nilikuta kwenye storage area ya mlango wa boot
Back
Top Bottom