Sijaona fursa hapoMnachezea fursa nyie
Sijaona fursa hapoMnachezea fursa nyie
Hivi forex inalipa kweli ?
Naonaga kama wachezaji wa bongo njaa kali
Sio lazima kanisani pia, kuna sehemu fungu la kumi wameandika kimsingi litumike 'kula bata' wewe na wanafamilia wako Kumbukumbu la Torati 14:22-29
Kwa mtoa mada: wazo la kuwa na hiyo app ni zuri nimelipenda wengine tunatumia tu hatuandiki. Kulijua tatizo ni hatua kubwa sana kusolvu matumizi binafsi
Aisee,Mimi nina mbwa 4 wa kizungu wanakula chakula cha Tsh 118000 kwa mwezi yaani hapo sijaweka chanzo na madawa mengine.Yaani baada ya bandiko la jamaa ndo nikapiga hesabu,means natumia zaidi 1440000 kwa mwaka bila matibabu na matunzo mengine,nimejilaumu ghafla but too late coz ninapenda sana mbwa pia nikajikuta watoto wangu nao wanawapenda mbwa hao,sina namna.
Nina 5 kids wote wapo shule za kati and l love my family so naipa furaha yote ninayoweza but nimeona ukianza kupiga hesabu za matumizi ya familia unaweza kuchanganyikiwa!Wewe ni mbele kwa mbele hamna haja ya review unayoyafanya kwa family,cha msingi ni review mambo ya nje kama starehe,usafiri,marafiki na ndugu n.k. Hapa duniani tunapita
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app

Hiyo 432 ni dollarInategemea, kama ni mgeni kiukweli nnakushauri usiingie
Ukisoma na kuijua kidogo ni kama unaona kabisa hella hizi hapaa, ila ukiingia utakosa na kupoteza hella zako, mi ni mwaka wa tatu na kidogo tangu niingie majuz nmepata kidogo
Ila unaweza kujua kila kitu moyo wako ukakataa, ni kama kasino
View attachment 2286305
Mzee baba hiyo gari inayotumia hela nyingi garege kuliko hata mafuta inayotumia siyo gari bali unatembelea rundo la vyuma.Apo nimeweka tu ila forex imechukua sehem kubwa ya matumizi mwezi huu
Mtu mwenye upeo anaweza jua mimi ni mtu wa aina gani, labda -kwenye matumizi yangu hakuna sehem ya sadaka, ko sijaenda kanisani mda
View attachment 2278512
View attachment 2278513
Hiyo 432 ni dollar
Unaweza itoa ?
Mzee baba hiyo gari inayotumia hela nyingi garege kuliko hata mafuta inayotumia siyo gari bali unatembelea rundo la vyuma.

Duuh hao mbwa mbona ni balaaa wanakutia umaskini tuAisee,Mimi nina mbwa 4 wa kizungu wanakula chakula cha Tsh 118000 kwa mwezi yaani hapo sijaweka chanzo na madawa mengine.Yaani baada ya bandiko la jamaa ndo nikapiga hesabu,means natumia zaidi 1440000 kwa mwaka bila matibabu na matunzo mengine,nimejilaumu ghafla but too late coz ninapenda sana mbwa pia nikajikuta watoto wangu nao wanawapenda mbwa hao,sina namna.
Nina 5 kids wote wapo shule za kati and l love my family so naipa furaha yote ninayoweza but nimeona ukianza kupiga hesabu za matumizi ya familia unaweza kuchanganyikiwa!Wewe ni mbele kwa mbele hamna haja ya review unayoyafanya kwa family,cha msingi ni review mambo ya nje kama starehe,usafiri,marafiki na ndugu n.k. Hapa duniani tunapita
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Hiyo fuel 120k from where to where? I am planning to buy a car,so fuel nikaws niweka bajeti ya 180k.nakaa sinza kazi ni posta
Hiyo fuel 120k from where to where? I am planning to buy a car,so fuel nikaws niweka bajeti ya 180k.nakaa sinza kazi ni posta
Kama sinza to posta weka laki5
Endapo utalitumia kila siku, linaweza kufika laki8 kama misele mingi
Em kwanza, Gari aina gan hilo
Sipo dsm sahv, enzi izo niko uko nilkuwa nasoma st joseph nakaa mabibo nasoma St josephhamna bana labda kama ni petrol V8. natumia Pajero V6 3000cc nakaa Goba kazi Posta nachoma 600k
Umepunja sana hapo kwa Girls. Haupo serious wewe.Apo nimeweka tu ila forex imechukua sehem kubwa ya matumizi mwezi huu
Mtu mwenye upeo anaweza jua mimi ni mtu wa aina gani, labda -kwenye matumizi yangu hakuna sehem ya sadaka, ko sijaenda kanisani mda
View attachment 2278512
View attachment 2278513