Recent content by MANUSU

  1. M

    Habari mbaya kwa walaji wa Kitimoto: Huenda wengi wao wakaja kupata kifafa!

    Religious books said it all then its our desire neither to eat or not
  2. M

    Rais Kikwete afanya Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri - Jan 19, 2014

    I wish mzigo ungepostiwa in full details
  3. M

    Kumekucha Arusha, Vijana waendesha bodaboda waizingira ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mbunge

    Mimi niko Arusha na nimeona haya yote pengine sijajua kabisa hoja ya msingi ni nn maana sielewi walikuwa wamejazana wakitaka nn.
  4. M

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    Asante kwa mrejesho huu sahihi
  5. M

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    Kama angefutwa uanachama angepoteza nafasi yake ya ubunge wa kigoma.
  6. M

    Msaada kuhusu m-pesa...

    Ni PM nitakupa mtu akusaidie faster ni mhasibu wa MPesa ni mwana nimesoma nae chuo.
  7. M

    Na mie nahitaji kuolewa!!!

    Alie kwambia mchumba unamtafuta wewe nani kaa jitunze atakuja kwa wakati muafaka. Mchumba anatafutwa huku ndo maana unapata wapigaki halafu unakuja kulia lia huku jf
  8. M

    Moyes sio kocha sahihi wa manchester

    Pole kaka sio mke huyo tafuta raha .welcome where footbal belongs
  9. M

    CHADEMA wakunjana mahakamani Dar es Salaam kwenye kesi ya Zitto Kabwe

    Kitaeleweka na watauwana mda unakwenda kuelekea uchaguzi tutaona mengi sana
  10. M

    WasafIrI wa mwanza-dar' Princess Muro sio gari lakupanda!!!

    Hao jamaa ni wajinga sana hata mimi niliwai kutana na msala huo kutoka Kahama
  11. M

    Jinsi ya kufanikisha malengo yako

    Umeongea vyema. Nami napanga ya kufanya mwakani hoja kubwa ni ujasiriamali
  12. M

    CHADEMA yaitupa kapuni Rufaa ya Zitto

    Kazi anayo huyu mpiganaji kila kona anataitiwa
  13. M

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    huu ni mpango mgumu sana kuelewa alikuwa anamwambia nani ila kutoka kwenye hiyo chaper aliyo icot inazungumzia upendo sana sasa sijui marehemu yeye alikuwa upande gani si kazi yetu sasa kuhukumu. Regards
Back
Top Bottom