Recent content by manushiboy

  1. M

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    wengi tuu tupo
  2. M

    Je, wafahamu suluhusho la tatizo la kukosa choo?

    Jamani naombeni msaa wenu kuhusu nini cha kufanya maana nina tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu inakia kipindi nakaa hadi siku tano sita. Naombeni utatuzi wa tatizo hili. Asanteni.
  3. M

    Interview utumishi

    dhumuni ni nini? kuhusu mada yako? unataka kudeseshwa au kajaribu bahati pitia vitu vyote ulivyosoma kwenye uhasibu utafanikiwa
  4. M

    Tra oral interview feedback

    kuwa na subra mambo bado kabisa
  5. M

    Walioomba kazi PSPF majina yametoka

    sasa taarifa hizi ni za lini? mbona ni 2011?
  6. M

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    mkuu pumbu erossion na yenywe inasaidia? naweza kutumia nikiwa na natumia dawa za hospital? tangu kuanza dozi (dawa za hospital) nina siku kumi ila bado pumbu inawasha na ngozi yake inakuwa soft sana. sijui nini cha kufanya wadau
  7. M

    Msaada wa haraka unahitajika katika hili( kutokusimama kwa uume-penis)

    sasa mbona kibiologia ni lazima ukiamka asubuhi mboo isimame???????
  8. M

    Msaada wa haraka unahitajika katika hili( kutokusimama kwa uume-penis)

    kama una msaada siyo lazima ukomment,usitake umaarufu kwa matatizo ya watu wengine
  9. M

    Msaada wa haraka unahitajika katika hili( kutokusimama kwa uume-penis)

    Mkuu mzizimkavu hili tatizo ni mwaka na nusu sasa nimewaona madktari na kuwaeleza ila majibu yao ni kwamba labda ni tatizo la kisaikolojia punyeto sipigi kwa sasa ingawa awali nilikuwa nikifanya hivyo wakati wa kukojoa asaubuhi siyo mara zote inasimama,hata kama nimebanwa na mkojo haisimami...
  10. M

    Msaada wa haraka unahitajika katika hili( kutokusimama kwa uume-penis)

    kibiologia si lazima uamkapo isimame? kwa sababu hiyo mimi niona nina tatizo, nyakati nyingine sijui kama ni lazima
  11. M

    Msaada wa haraka unahitajika katika hili( kutokusimama kwa uume-penis)

    Nashukuru kwa members wa jf doctor kwa msaada wanaoutoa kwa post kwa watu wote mimi ni kijana wa kiume(26) nina tatizo la kutokusimamisha uume niamkapo asubuhi, hali hii nimekuwa nayo kwa sasa (mwaka na nusu) nimejaribu kuwaona madoctor wakawa wana niambia kwamba labda ni mawazo, tatizo la...
  12. M

    JWTZ/TPF na wahitimu wa shahada ya kwanza

    bwana Umulitho tanzgazo hilo linapatikana wapi? nijuze nijaribu kuomba plz
  13. M

    Rex solar energy interview conducted on 7 september 2012

    ndugu vipi waliwajulisha lini kuhusu hiyo interview?
Back
Top Bottom