Recent content by manumoo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kuwasumbua mademu PM tukutane hapa

    Mi hata sijui PM ni kitu gani! Hivi kirefu chake ni nini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Deogratius Kisandu akamatwa na Polisi kwa kosa la kuandika matusi mitandaoni

    Nasikia Kenya wanaassemble magari na wamezindua satellites yao. Wakati hayo yanatokea sisi watz tunashughulika na watu wanaoandika matusi pamoja na wakina nabii Tito! Wao wanapambana kutafuta njia za kujikwamua kiuchumi sisi tunapambana kuwafunga watu midomo wasiseme. Anyways tutafika tu bhana!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Andika mkoa na mtaa uliopo uwajue wanaJF walio karibu na wewe

    Nipo old moshi tela!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nguvu?

    Hoja ya msingi ni Kwanini havina nguvu? Kuna nchi zenye vyama vyenye nguvu sana. Kwann vya kwetu havina nguvu? Hakuna aliekuwa na nguvu kama Mkoloni ila aliondoka kwa nguvu ya hoja za watanzania kwa sababu vyama vilikuwa na hoja ya msingi ya kitaifa. Leo vyama vyetu vina hoja moja tu kushika...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nguvu?

    Nadhani wengi wanaweza kuchangia mada kwa uchama wao ama wa upinzani ama wa chama tawala. Ninachotaka kusema ni kwamba ili vyama vya upinzani viweze kuwa imara lazima kila anaeingia ndani ya chama ajue kuwa misingi ya chama kama taasisi ni ipi! Ila kama chama kitakosa nguzo kama hiyo wanaoingia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuunga mkono kila kitu kinachofanywa na chama tawala ni uzalendo?

    Tumeshuhudia wapinzani wapinzani wakihamia chama tawala kwa kile wanachodai kuwa ni kusaport juhudi za serikali. Kwa namna ninavyoona ni kwamba wanasaport kila kitu maana kama mtu anahama kabisa chama cha upinzani na kuhamia chama tawala kwa Maana ya kusaport ni kwamba hakuna cha kupinga tena...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nguvu?

    Duh!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya upinzani Tanzania vinakosa nguvu?

    Upinzani ulianza Tanzania mwaka 1995 kwenye uchaguzi wa kwanza. Hata hivyo mchakato ulianza mwaka 1992 kutokana na mapendekezo ya structural adjustment policy. Tulishuhudia chama kama NCCR mageuzi kikionesha mabavu sana wakati wa uchaguzi wa 1995 ikapelekea mzee Mrema kuteuliwa kuwa makamu wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je Somo la Commerce limekuwa janga la taifa?

    Nchi zenye ustawi mkubwa wa biashara duniani ni marekani China na japan . hata hivyo nchi zenye uchumi mkubwa sana kwa pato la ndani(GDP) ni marekani China na Japan. Unadhani ni Kwanini? Nchi zenye uzalishaji mkubwa zinaongoza pia kwa biashara. Huwezi kuwa na uchumi wa viwanda bila kustawisha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je Somo la Commerce limekuwa janga la taifa?

    Nadhani haya masomo yana umuhimu mkubwa kwa nchi hii kuliko tunavyoyachukulia. Moja ya nchi zilizoendelea kwa kasi sana ni China. Kwa sasa ina uchumi mkubwa na inashika nafasi ya pili baada ya marekani. Kati ya Benki tano kubwa duniani, nne zina toka China. Na Benki ya kwanza kwa ukubwa inaitwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Je Somo la Commerce limekuwa janga la taifa?

    Matokeo ya kidato cha pili mwaka 2017 yalitangazwa tarehe 8/1/2017. Matokeo hayo yanaonesha ufaulu mzuri kwa shule za binafsi kuliko shule za umma kwani kati ya shule kumi zilizofanya vizuri Tanzania, zote ni za binafsi. Hata hivyo kwa shule zilizofanya mitihani ya masomo ya biashara inaonesha...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye TBA yamaliza utata juu ya "Expansion Joint", yatoa picha ya kuta zinazoonesha nyufa hazina madhara

    Hiyo inaitwa conner expansion joint. Haya Majengo ni ya kisasa jamaangu. Maana hayo ma expansion joint hayajawahi kuwekwa kwenye majengo hata ya marekani. Eti mnasema Tanzania haijagundua kitu! Na hizo expansion joint je!!!!!!
  13. M

    JamiiForums Tanzania 3 pieces of advice !

    Very material! I loved it! Be blessed by our Almighty God.
Back
Top Bottom