"amezaa na wanawake tofauti" kama nimesikia vizuri, hapa ni kukimbia bila hata kugeuka nyuma vinginevyo na wewe utafanyiwa kama hao wanawake wengine. Narudia tena usithubutu dada ni kheri uendelee kuwepo kuwepo inshala Mungu atakusaidia umpate mtu sahihi.
Mganga mfawidhi badala ya kuwasiliana na wataalamu wake waliopo kituoni awaombe wamhudumie mgonjwa yeye anamwachia mwananchi. Hata kama hayupo kituoni ndo ashindwe kumsaidia mtu, kiukweli mganga mfawidhi hajawajibika.
Habarini wanajamvi
Tangu juzi najaribu kuomba nafasi zilizotangazwa na TAMISEMI kupitia OTEAS ila kuweka vyeti ( ku-approad vyeti) imekuwa shida sana. Hebu tupeane uzoefu hapa kuna wanaofanikiwa tangu juzi?
Nimekuwa nakutana na sentensi hizi kwenye uandishi wa watu na huwa zinanipa wakati mgumu kujua kama ni sahihi pale mwandishi anapotaka kuelezea
wingi wa MPANGO MKAKATI.
-MIPANGO MIKAKATI
-MIPANGO MKAKATI
-MPANGO MIKAKATI
-MIPANGO NA MIKAKATI.
Je ipi ni sahihi kuelezea wingi wa sentensi "Mpango...
Eti kichen party! Hii tabia ya kupenda kuelekezwa elekezwa na kufundishwa fundishwa isiendekezwe maana naamini kila binadamu amepewa akili na utashi wa kujua jinsi ya kuishi. Cha msingi kujiwekea miongozo na kuishi kwayo (living by your own principles)
siku hizi waolewaji ni wengi lakini waoaji ni haba sana. Mi nadhani huyo demu kukwambia yuko single haimaanishi kwamba hana mtu hata wa kumchangamsha ila tu hajapata aliye tayari kumuona. Kwahiyo usiwaze ukamfikiria tofauti. Fuata ushauri uliopewa huko juu na uusikilize moyo wako kama umemridhia...
Nautamani wakati mmoja ufike ambapo polisi itakuwa ni taasisi huru ambayo haitakuwa inafanya kazi kwa kusubiria kauli kutoka kwa viongozi wa serikali. Taasisi ambayo mkuu wake itafanya kazi kutokana na taratibu, sheria na kanuni haki ikitawala. Taasisi ambayo itamwajibisha yeyote bila kujali ni...
Nilipita Kahama Januari 2017 hii barabara ilikuwa ishakamilika na inatumika. Japo sina uhakika ilikamilika lini angalau kwa maono yangu nadhani ilijengwa kwa bajeti ya awamu ya nne.
Nilipita Kahama Januari 2017 hii barabara ilikuwa ishakamilika na inatumika. Japo dina uhakika ilikamilika lini angalau kwa maono yangu nadhani ilijengwa kwa bajeti ya awamu ya nne.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.