Recent content by Mantown

  1. Mantown

    JamiiForums Tanzania Mpigie Kura Diamond kwenye tuzo za Radio Afro Australia-2016, wimbo wa KIDOGO

    Dimond waueeeeeee!!!!!!! Wanatoka mapovu
  2. Mantown

    JamiiForums Tanzania Siri yafichuka! CCM mwaka 2020 jiandaeni kupambana na huyu

    Magufuli hana mpinzani
  3. Mantown

    JamiiForums Tanzania Wakristo Wenzangu Hivi Kumchezea Mungu Ndombolo, Sebene Na Kwaito Alituagiza?

    Kiukweli inakera sana kuona watu wanacheza sebene na miziki ya ovyo na wachungaji wanaona huu ni ujinga mkubwa sana na wao pia wanaangalia tu sadaka zao ila maadili hawafundushi mm wananikera viongozi wa dini
  4. Mantown

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukila nanasi ukinywa maji mdomo unakuwa mchungu?

    Hiyo inakuwa ni njaa tu
  5. Mantown

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukila nanasi ukinywa maji mdomo unakuwa mchungu?

    Hiyo inakuwa ni niaa
  6. Mantown

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya utengenezaji ndege ya Boeing

    Pongezi jamani kwa mheshimiwa raisi
  7. Mantown

    JamiiForums Tanzania RC Makonda amuweka ndani Mwenyekiti Serikali ya Mtaa akiwa mkutanoni

    Nyie watanzania wote mnaempinga makonda ni manyumbu watupu na mangadu kabisa hamnazo yaani nchi imeliwa na wapuuzi wachache bado mtu anawawajibisha mnamkosoa kumbe hili ni taifa la watu wpumbavu watupu amna shukrani kabisa mungu, makonda piga kazi wanyooshe tu
  8. Mantown

    JamiiForums Tanzania Binafsi namuogopa sana mwanamke asiyeomba hela

    Ila kama mwanamke ajakuzoea awez imbalance hela koz ya kuona aibu
  9. Mantown

    JamiiForums Tanzania Binafsi namuogopa sana mwanamke asiyeomba hela

    Jaman maisha ya Leo pesa ndo kila kitu
  10. Mantown

    JamiiForums Tanzania Akina Dr. Mwaka na mwenzie Ndodi wameacha madhara makubwa sana kwenye jamii

    Mtoa Mada umejikanyaga Kwanzaa Mimi mwenyewe nishawai kutumia Dawa ya meno ambayo alinitengenezea ndodi na sijawai umwa jino tena Ila tuwatanzania wengi ni wavivu wa kufikiria na kufatilia ikiwemo kutozingatia masharti
  11. Mantown

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    alisema ukweli kila kitu je ni kipi alipindisha?
  12. Mantown

    JamiiForums Tanzania Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

    vipi umeshaanza kuondoka? maana mzee keshachukua nchi kule
  13. Mantown

    JamiiForums Tanzania Kweli maisha ni kama zali la mentali, sikutegemea kama angekuja kuwa mbunge wa CHADEMA

    hyo sio photoshop hyo ni katka wimbo flani ivi wa profesa j na ilikuwa kitambo sana
  14. Mantown

    JamiiForums Tanzania Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

    Mi cjui juu ya hayo karibuni dar wote mnaobishana mje mbishanie uku
Back
Top Bottom