Kwa wadundulizaji wa fedha, ila kwa wawekezaji unalala na sifuri, unaamka bilioni. Katika ulimwengu huu wa ujuzi na weledi wa teknolojia, kisayansi. Mfano, babu wa Loliondo, tatua changa moto ya kansa au figo na moyo, uone kama utajiri haujaukimbia!
Utajiri upi? Kama ni wa mbuzi kuku na ng'ombe sawa. Ila kuhusu mgari nyumba na mashamba huo ni wa dakika kama siyo sekunde. Nakufilisika ni hivyo hivyo.
Education is the only invisible tool that allows you to suffer for years without remedy. If you have any dream, then let education be the last thing to be trusted in the future for your kids. Robots are taking care of it.
"A rolling stone gathers no moss. Jack of all trades, master of none." Kama suala ni kurogwa hata kwenye ufundi simu utalogwa pia. Endelea ni huduma ya tiba, utazeeka nayo, hiyo mambo ya simu teknolojia itakupindua, haraka ndani ya miaka mitano, ijayo.
From now on call that toxic relationship off, and the worst won't bother you, since she doesn't love you any longer. Let the past alone, don't drag it into a present situation.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.