Recent content by Mantombazane

  1. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini CCM hawajazi nafasi iliyoachwa wazi na Kinana?

    Wanatafuta mstaafu mwingine wamwombe awasaidie. Hawa huwa hawazalishi viongozi damu changa wao wanategemea wahamiaji kutoka chadema
  2. Mantombazane

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Starehe zote za hii dunia ni ubatili na hasara tu

    Huo siyo uovu kwanini unihikumu? Mfalme Suleimani alikuwa na wake700 na vimada 300na Mungu alimpenda sana hadi akampa hekima atawale kwa haki. Wewe unanini cha kujutia?
  3. Mantombazane

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Azam Huwa anaamua kumwachia Simba ili kumwandalia ubingwa

    Wudesi
  4. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari. Naomba kujua inakuwaje watu wanajenga majengo chini ya nyaya za umeme mkali bila kuchuliwa hatua zozote? Nimeona haya maeneo mengi lakini lililonitisha nikuona mpaka shule nayo imejngwa chini ya nyaya za umeme wa msongo mkubwa. Hapo Dsm nimeona shule moja ya msingi pale Mbezi Msuguli...
  5. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Yah:kuibiwa usiku wa tarehe 3.09.2024

    Roga au piga kurujuani
  6. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Asante kwa majibu mazuri
  7. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari. Bei ya kuunganisha umeme pembezoni mwa miji ambako ni sawa na kijijini ni shilingi ngapi? Maana ndugu yangu ameomba umeme hapo Igingilanyi Iringa mpakani na Nduli ambako watu wamehamia baada ya kuhamishwa na upanuzi wa uwanja wa ndege lakini amepewa bill ya malipo ya manispaa. Naomba...
  8. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Ole Mushi: Waziri Nape asiruhusiwe kuruka na chopa kuhamasisha anuani za Makazi

    Wakati haya yanatokea rais yuko wapi??
  9. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape kuzunguka nchi nzima kwa helikopta kuhamasisha zoezi la anuani ya makazi. Viongozi wetu kuna shida mahali

    Ni muda wa kupiga hela. Mama kesha waruhusu kula hata nje ya kamba yao. Mafisadi wote wamesharudi serikalini
  10. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

    Alipataje hiyo kazi sasa?
  11. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

    Ndege ni za Tanganyika zinapokelewa Zbar. Ajabu!
  12. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali umedanganya; tuzo ya Nobel haijaenda kwa Raia wa Tanzania

    Mdesi sana huyo mbena manga. Agaya luhala mpuva
Back
Top Bottom