Ndege mbili za Airbus kupokelewa siku ya Ijumaa, Uwanja wa Abeid Aman Karume Zanzibar

Kwa wajuzi wa mambo jamani, hiyo cruising altitude ya hiyo cessna caravan ni safe kweli? Au sio Cessna hiyo ni A220 wameikosea? 😳

Screenshot_20211008_091303_com.gspace.android.jpg


Screenshot_20211008_091254_com.kiwibrowser.browser.jpg


Screenshot_20211008_085529_com.gspace.android.jpg
 
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?

View attachment 1967693
 

Attachments

  • IMG_0559.MP4
    2.8 MB
Naam, kumekucha tena siku ya ijumaa mchana tarehe 08 Oktoba, 2021 katika uwanja wa ndege wa Abeid Aman Karume kutapokelewa ndege mbili za Airbus aina ya 220 - 300. Ndege hizo zitapokelewa na Dr. Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Itoshe kusema ATCL inaendelea kupata ndege zaidi za Airbus ambazo kimsingi zinatakiwa kuwa za masafa ya kati, mfano Dar to Nairobi, Entebe, Lusaka, OR Tambo Nk. Swali linabaki, Je wamejipanga kufika huko kiushindani?

View attachment 1967693
Kwaiyo izo ndege mbona hatuoni picha picha za Zanzibar kama mashada ya karafuu bado ni AirTanzania na picha tigwatwiga, Zanzibar hakuna twiga
 
Kuiita ndege Tanzanite ni 'Grammatical error'! Wale waliosoma Classification kwenye Biology wanajua jinsi ya kutumia mfumo wa kutoa majina (Nomenclature)
Mfano kwa kuwa ndege zingine zimepewa majina ya miji au maeneo, ili kuwe na mfuatano/ mtiririko wa majina, basi ndege hiyo inatakiwa iitwe Mererani.
Ili kuweza kuiita Tanzanite, basi ndege nyingine zilitakiwa ziwe zimepewa majina kama Copper, Zinc, Gold, Silver, Diamond nk.
Screenshot_20211008-134329.jpg
 
Serikali yetu ilikuwa nia njema sana kufufua atcl lkn kimtazamo ni km hatukujipanga sababu biashara ya ndege ina mnyonyororo mrefu sana ktk uendeshaji wake mosi shirika ni lazima liwe na mawakala wa kutosha ndani na nje ya nchi wa mauzo ya ticket pili kwa kuanzia shirika angalau lingekuwa na safari ktk miji mitano mikubwa kibiashara na utalii mfano Mumbai India.. Guaxhuu China...Johannesburg South Africa London UK na magharibi ya Africa kuna shida sana ya usafri ni Ethiopia airline peke yao ndio wanakwenda huko ktk mashirika ya kiafrika na nauli zpo juu kuliko hata ulaya..Kwa kutumia hz Dreamline na airbus shirika linaweza kuoperate hz route tena kwa faida na baadhi ndege zikawa zinatumika uber kukusanya abiria ktk nchi majilani zetu km Congo,Zambia, Burundi, Malawi, Uganda,nk kwani nchi zote hz kwa sasa hazina shirika madhubuti km atcl..Tatu shirika lilitakiwa kuingia mikataba na mahotel kwa ajili ya abiria wanakuwa transit pamoja na usafiri wa uwakika kutoka Airport kwenda mahotelini hiki kitu Ethiopia airline wamefanikiwa sana ..Nne Kupunguza ghalama za uendeshaji mashirika mengi yanakufa ama kujiendesha kwa hasara sababu kubwa ni ghalama za uendeshaji unakuta soda ya kopo supermarket inauzwa 1000 lkn mzabuni analiuzia shirika la ndege 20,000 uwo mfano mmoja kati ya mingi ndio mwisho wa siku shirika linaonekana linaendeshwa kiasara lkn ukweli kbs hasara nyingi ni zakutengeneza ..Tano na mwisho hapa ndio kwenye tatizo kubwa Africa inaonekana usafri wa ndege ni anasa na ni kwa ajili ya watu flami tu ili ni tatizo kubwa nauli one way kwenda kigoma 500,000 tsh wakati nauli ya Dubai kwa fly Dubai 370 usd go and return..jibu rahisi nauli ya Dubai rahisi kuliko kigoma kwa ndege..Hv kipi bora kuweka nauli ya 500,000 kwenda kigoma alafu unapata abiria saba au nauli ya 200,000 upate abiria arobaini ..mwisho biashara ya ndege angani sio ardhini kuna mikoa km mwanza kigoma kilimanjaro,mbeya, dodoma inatakiwa iwe hata na route kumi kwa siku km nauli itakuwa rafiki hayo ndio maoni yangu km mtanzania mpenda nchi yangu
Mkuu nimeipenda hii kwanini usiipandishe kama uzi ili wahusika wapitie hapa wajionee mawazo mazuri haya.
 
Zanzibar wawe na shirika Lao la ndege..
Waite Zanzibar air..

Huku atcl tuivunje..tuanzishe Kilimanjaro airlines
Kuipa jina la Zanzibar moja kati ya ndege mbili zilizokuja ni kukumbushia hadithi ya mwarabu na ngamia.
 
Tanzania injitahidi sana kukua ,lakini naona inongezeka miguu tuu, kwa urefu ,ila akili na mwili havikui.

Kulikoni?
 
Back
Top Bottom