Recent content by manta1

  1. M

    JamiiForums Tanzania NHC yambwaga Mbowe Mahakamani

    Lile jengo makamanda waliaminishwa kuwa ni Mali yake ya urithi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tangu akamatwe Scorpion, Mshana Jr hajaonekana JF

    Kweli kapotea sana inawezekana akawa ndie nge
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa maswali haya kuhusu kanisa la KKKT

    Njoo kwenye uislam ndio dini ya haki huyo mjereman ni muhuni tu kama kakobe sema yeye ni mzungu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ukioa mwanamke asiyejishughulisha na kwao masikini jua umeoa familia nzima

    Kwani kusaidia ndugu wa mke wako kosa liko wap hiyo ni roho mbaya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona jana mkutano wa ACT-Wazalendo

    Chadema iko MOSHI tatizo hamlijui kwenye siasa za Tanzania hakuna upinzani kuna fulsa tu ilipo unaifata ndomana mtu akikosa huku anahamia huku kama kina Lowasa msindai na hii ya kujiona chadema ni bora kuliko vyama vingine mtaishia kutawaliwa na ccm siku zote ACT chadema CUF NCCR hakuna Chama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu wa Madrasa na Mwanafunzi wake mbaroni kwa kuendesha mafunzo ya kigaidi

    Polisi wa bongo shida kila muislam gaidi hivi waislam wakiamua kuna polisi wakudhibiti bado tunaishi kiundugu ila tunapo elekea so kuzuri polisi badilikeni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vijana CUF wamtaka Mbowe kuacha kukivuruga chama chao

    DJ mbowe juwa ya saccos yako CUF haiendeshwi kama chadema saccos ukisema wote wanafata CUF ni haki Sawa kwa wote Sasa tunamsubiri Lisu mahakamani tukampe aibu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mjue Mtoboaji macho, Salum Njwete (Scorpion) na watu wake

    Wanaume wa DAR mnastaili kuvaa kanga mtu anafanya unyama mnamuangalia tu hiyo ni aibu mikoani polisi wangekuta maiti
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mahakamani: Bodi ya Wadhamini ya CUF, yawasilisha hati ya kumshitaki msajili na Wengineo

    Sasa aibu imefika mahakamani ndo kuzuri wanachama ndo wenye Chama hakuna yoyote mwenye nguvu kuliko wanachama Lipumba ni mwenyekiti halali wa CUF nyie hangaikeni mtutalia
  10. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba Jipime hata Nyerere aliachia madaraka akiwa anapendwa na watu wengi

    Anze DJ mbowe kwanza ajipime
  11. M

    JamiiForums Tanzania Pale Buguruni analindwa Lipumba au CUF?

    Chama chetu kiko salama na ofisi iko salama na mwenyekiti anaendelea na majukumu yake kama kawaida puuzeni tarifa zinazotoka pale ufipa kinondoni wanachama ndo wenye maamuzi ya mwisho kwenye Chama kwahiyo ITV kazi waliyo pewa na Mbowe kutengeneza propaganda ipuuzeni haki Sawa kwa wote
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Julius Mtatiro ana matatizo gani yanayosababisha kila nafasi anayopata inampokonyoka?

    Huyu mtatiro anamatatizo sana chadema kupitia umoja wa kinafiki ukiwa waliosababisha ashindwe ubunge kwa kumuwekea mgombea akatukana leo wamekuwa ndugu zake aende ufipa akapewe cheo Lipumba ni mwenyekiti halali wa CUF
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ni mtetezi hewa wa Watanzania

    Mbona magufuli ndo mkuu wa nchi na nikwao hajaenda tetemeko so Lazima kila mtu aende mwambie mwijage muhaya mwenye zamana ya viwanda awasaidie kujenga kiwanda si mepewa mawaziri wengi Kanda ya ziwa wawasaidie
  14. M

    JamiiForums Tanzania Safari hii Mwalimu Mwakasege hajaita wadada wenye uhitaji wa kuolewa?

    Kwa stahili hiyo atapata waumini wengi kawazidi kete kina gwajima
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Msukuma apelekwe vyuo vikuu kufundisha Ujasiriamali

    Msukuma na bangi
Back
Top Bottom