technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,453
- Thread starter
- #21
Kwani mnapomlaumu Magufuli ajaenda mnamaanisha nini?Kufika au kutofika ndio uzalendo huo?.
Kwani mnapomlaumu Magufuli ajaenda mnamaanisha nini?Kufika au kutofika ndio uzalendo huo?.
Ni tapeli tu wa siasa huyu!!Nimekumbuka maneno ya boby marley wimbo wa zimbabwe maneno yasemayo"soon we will find out who is the real revolutionary" sasa tumeanza ku realize.
Zitto utapotea, achana na Rais Magufuli!!Mimi sina chuki na zitto hata kidogo hata Jana tu nimekuja na Uzi hapa kumsifia wacha nikuwekee uone tatizo lako umeshikwa uwezo wa kufikiria huna tena
nakuona kila kukicha unamuota Zitto tu. huyo Zitto kakukosea nini? kama ni kwenda huko bukoba hata viongozi wakubwa kabisa kama lowassa leo hii ndo tumeona wameshuka kwenye pangaboy na lema wakenda huko. mbona huhoji akina rais ambao wao wanakusanya na kodi kabisa na hawajafika huko wala akina mkapa, Kikwete na wengine wengi? wewe umemuona Zitto tu? sidhani kama ni hivi hivi, una lako jambo wewe.Mi naona wewe ndiye hujui zitto kama ni mzalendo kweli alitakiwa hawe pale
Wewe hata usipoenda una impact gani?mi mbona sijaenda,kwani kusaidia ni mpaka uende
Yangetokea kasulu asingeenda ?nakuona kila kukicha unamuota Zitto tu. huyo Zitto kakukosea nini? kama ni kwenda huko bukoba hata viongozi wakubwa kabisa kama lowassa leo hii ndo tumeona wameshuka kwenye pangaboy na lema wakenda huko. mbona huhoji akina rais ambao wao wanakusanya na kodi kabisa na hawajafika huko wala akina mkapa, Kikwete na wengine wengi? wewe umemuona Zitto tu? sidhani kama ni hivi hivi, una lako jambo wewe.
umejuaje hataenda? kwani wabunge wote wameshaenda huko? au umemuona Zitto tu. nimekupa mifano mingi tu hata huyo lowassa unayempenda saaaana ndo kwanza kaenda leo. mbona kichwa ngumu sana wewe. nasema sio hivi una lako jambo weweYangetokea kasulu asingeenda ?
pole sana bado tu mnaamwandama mtoto wa mwenzenu, amewaachia chama chenu cha kikabila na kiukanda amehamia chama alichoona yeye kinamfaa hamuishi kumfuatafuata ongeleeni ya kwenu msifuate ya watu.Zitto Kabwe pamoja na kutoka Kanda ya ziwa maafa ya Bukoba hajatia mguu Kagera. Zaidi ya kutoa pole kwenye fecebook. Hivi anafikiri maafa kama yameweza kuikuba Bukoba hayawezi ikumba Kigoma?
Wakati yote ni Kanda ya ziwa na Kigoma kwenye ziwa Tanganyika ambalo ni lift valley lake. Na yeye mkoa Jirani na kwake ni Bukoba.
Je ikitokea kwenye jimbo lake hataenda pia?
Kwanini anajifanya ni mtetezi wa watanzania wakati ni tapeli hatumuoni kwenye maafa?
Huyu kweli ni mtetezi hewa wa Tanzania.
Utamukuta Facebook tu akijisifia, akiisifia ACT, au kumsifia meya wa kigoma;
Zitto ni mnafiki kweli sio mtu wa kumuamini tena, labda nimkumbushe tu Tanzania ni yetu sote iwe Bukoba Kigoma Mtwara wote ni ndugu na janga linaweza tokea sehemu yeyote.
View attachment 405539View attachment 405541
Unajua kigoma na bukoba ni km ngapi?pole sana bado tu mnaamwandama mtoto wa mwenzenu, amewaachia chama chenu cha kikabila na kiukanda amehamia chama alichoona yeye kinamfaa hamuishi kumfuatafuata ongeleeni ya kwenu msifuate ya watu.
Masahihisho ZZK hatokei kanda ya ziwa, anatokea kanda ya magharibi
UTAKUA UMETUMWA,, KWANI LAZIMA KILA MTU AFIKE,, WE BOGUS KWELI.................................Zitto Kabwe pamoja na kutoka Kanda ya ziwa maafa ya Bukoba hajatia mguu Kagera. Zaidi ya kutoa pole kwenye fecebook. Hivi anafikiri maafa kama yameweza kuikuba Bukoba hayawezi ikumba Kigoma?
Wakati yote ni Kanda ya ziwa na Kigoma kwenye ziwa Tanganyika ambalo ni lift valley lake. Na yeye mkoa Jirani na kwake ni Bukoba.
Je ikitokea kwenye jimbo lake hataenda pia?
Kwanini anajifanya ni mtetezi wa watanzania wakati ni tapeli hatumuoni kwenye maafa?
Huyu kweli ni mtetezi hewa wa Tanzania.
Utamukuta Facebook tu akijisifia, akiisifia ACT, au kumsifia meya wa kigoma;
Zitto ni mnafiki kweli sio mtu wa kumuamini tena, labda nimkumbushe tu Tanzania ni yetu sote iwe Bukoba Kigoma Mtwara wote ni ndugu na janga linaweza tokea sehemu yeyote.
View attachment 405539View attachment 405541
zaidi ya km 700Unajua kigoma na bukoba ni km ngapi?
Zitto Kabwe pamoja na kutoka Kanda ya ziwa maafa ya Bukoba hajatia mguu Kagera. Zaidi ya kutoa pole kwenye fecebook. Hivi anafikiri maafa kama yameweza kuikuba Bukoba hayawezi ikumba Kigoma?