Pale Buguruni analindwa Lipumba au CUF?

Pale Buguruni analindwa Lipumba au CUF?

Lipumba kama mwenyekiti CUF taifa ana hadhi ya kupewa ulinzi dhidi ya redbrigade ya CHADEMA.

Mzee wa Chilonwa.
 
Jibu litapatikana soon, yule mpemba mwenye jengo kasema mwisho wa mkataba ni mwezi huu na haongezi mkataba. Hapo ndo tutajua analindwa lipumba au ofisi.
Atalipa tena ada ya pango mmesahau ruzuku anapokea yeye?

Kwikwikwiiiii mmekamatika pabaya. Lipulipu Lipumba ngangariiii kinoma
 
Haya si mawazo yangu taahira wewe bali ni sheria za vyama vya siasa nchini. Haiwezekani kamwe msajili wa vyama vya siasa akakichagulia chama chochote nchini kiongozi ambaye si mwanachama wa chama hicho na pia hatakiwi kama kiongozi.

Upumbavu ni kuwaza Mawazo yako ndio kamusi sahihi ya kufasiri Matukio yote ya Kisiasa !
 
Haya si mawazo yangu taahira wewe bali ni sheria za vyama vya siasa nchini. Haiwezekani kamwe msajili wa vyama vya siasa akakichagulia chama chochote nchini kiongozi ambaye si mwanachama wa chama hicho na pia hatakiwi kama kiongozi.

Matusi ya nini sasa? Hizi Siasa tu na Hao tunaowajadili wakikutana wanagonga Mvinyo!

Kama Msajili Hana Mamlaka hayo Kelele za nini si wangeendelea na Mambo Yao wakaachana na huyo Msajili anaewachagulia Mwenykit. Hizi ni Siasa na tofauti za Mawazo ndio Afya ya Siasa hata Mahakamani hakuna Siasa lakin bado watu wanatofautiana Mawazo na hata Majaji wanayofautiana kwny hukumu japo wanatumia Sheria moja.

Kama Msajili Ana Mamlaka au Hana Mamlaka ukweli tutaujua kwa mlalamikaji kwenda Mahakamani kupata tafsiri ya kisheria sio wingi wa Press conferences na Wingi wa Matamko ya kutokumtambua!
 
Analindwa 'yule mtu' na ni kwa sababu 'alitii maelekezo' aliyopewa wakati wa uchaguzi.
 
Matusi ni RUKHSA urushe wewe ila mimi ni kosa!!

Acha kuandika ambayo hayaingii akilini!!! Ukishafukuzwa uanachama wa chama chochote kile kwa kufuata taratibu za chama basi unapotetea haki zako zote za uanachama ikiwemo ya kushika nafasi yoyote ile ya uongozi katika chama husika. Acha kukurupuka Mkuu.

Hakuna sheria yoyote ile nchini ambayo inampa uwezo msajili kukichagulia chama chochote kile kiongozi kinyume na katiba ya chama husika.

Matusi ya nini sasa? Hizi Siasa tu na Hao tunaowajadili wakikutana wanagonga Mvinyo!

Kama Msajili Hana Mamlaka hayo Kelele za nini si wangeendelea na Mambo Yao wakaachana na huyo Msajili anaewachagulia Mwenykit. Hizi ni Siasa na tofauti za Mawazo ndio Afya ya Siasa hata Mahakamani hakuna Siasa lakin bado watu wanatofautiana Mawazo na hata Majaji wanayofautiana kwny hukumu japo wanatumia Sheria moja.

Kama Msajili Ana Mamlaka au Hana Mamlaka ukweli tutaujua kwa mlalamikaji kwenda Mahakamani kupata tafsiri ya kisheria sio wingi wa Press conferences na Wingi wa Matamko ya kutokumtambua!
 
Ule ulinzi uliopo pale kwenye Ofisi Kuu ya CUF Buguruni ni wa kulinda ili Ofisi ya chama hicho isiharibiwe au ni ya Kumlinda Lipumba asing'olewe madarakani? Ulinzi kama ule upo pale Mtendeni mtaa wa Vuga yalipo Makao Makuu ya CUF au hakuna? Kama haupo ni ishara gani kwa kinachoendelea ndani ya CUF.

Ina maana aliye kwenye hatari ya kudhurika ni Lipumba na Ofisi aliyomo na si Maalim Seif na Ofisi anayoitumia kama Katibu Mkuu? Hivi wale wanoingia mle kama wako kinyume na Lipumba wanaposhambuliwa hakuna sheria inayowalinda na hao washambuliaji mbona hawakamatwi. Nani anatoa maelekezo na kusimamia ulinzi ule na kwa faida ya nani? Je Kodi za Watanzania zinatumika kwa kazi hiyo?

Hiyo tisa kumi yake mnaostuka Zaidi ni nyie wa Chadema kuliko CUF wenyewe.
 
A
Jibu litapatikana soon, yule mpemba mwenye jengo kasema mwisho wa mkataba ni mwezi huu na haongezi mkataba. Hapo ndo tutajua analindwa lipumba au ofisi.
CHA KUSEMA USICHOJUA CUF LILE NI JENGO LAO WALINUNUA
 
NIJUAVYO CUF WALINUNUA JENGO LILE HAWAJAKODI AU WALIDANGANYA SIKU YA UZINDUZI TENA ILITAJWA MIL 250 BEI YAKE MWAPUMZISHENI HAWA MAPOVU WANAOOMBEA CUF IFE WABAKI WAO NA USANII WAO
 
Hiyo tisa kumi yake mnaostuka Zaidi ni nyie wa Chadema kuliko CUF wenyewe.
NASHANGAA KAMA SI MPANGO MAALUM WA MAUAJI YA CUF PROF KOMAA KARIBUNI WENYE CHAMA CHAO WATAONYESHA MSIMSMO WAO.HATUWEZI WOTE KUWA WAJINGA WA KUCHEZEWA NA MWENDEZESHA CASINO NA GENGE LAKE LA NDIO MZEE
 
Chama chetu kiko salama na ofisi iko salama na mwenyekiti anaendelea na majukumu yake kama kawaida puuzeni tarifa zinazotoka pale ufipa kinondoni wanachama ndo wenye maamuzi ya mwisho kwenye Chama kwahiyo ITV kazi waliyo pewa na Mbowe kutengeneza propaganda ipuuzeni haki Sawa kwa wote
 
Binafsi nachukia ujinga has a pale unapofanywa na serikali kwa manufaa ya chama tawala.Mwenye akili anajua maana ya kinacho endelea. kifupi ni kwamba kuna chama kinaogopa nguvu ya UKAWA na ndio maana wanaona bora Lipumba adhalilike lakini mambo yao yatimie. Ujinga.

Siku mahakama zikiingia kwenye huu ujinga basi wanasiasa watafanya wanavyo taka.wataua na kutesa watu ili wabaki madarakani.
 
Lipumba mkuu, CUF haiwezi kulindwa kabisa, siku ofisi ikihama na Lipumba na polisi watahama nae.
 
Unalia,unauliza au unalalamika?
Bavicha mkikosa hoja mnakimbilia kodi za wananchi ili mpate huruma
Hivi mnavyotapanya kodi za wananchi kwa maandamano na ziara butu huko ujerumani mnaenda kunywa whisky tu mbona husemi?
Ulinzi wa mali na maisha ya watanzania ni jukumu la polisi
Kwa hali ilivyo sasa mali na viongozi wa cuf lazima walindwe na polisi
Hata wewe maisha yako yakiwa hatarini utapewa ulinzi
Lini police walimlinda Lipumba zaidi ya kumpiga na kumdhalilisha !!. Ukiona hivyo ujue ni kutumika hakuna kitu kingine
 
Mfalme suleiman aliwahi kusema kuwa "mwanamke M.p.u.m.b.a.v.u ni sawa sawa na kipini cha dhahabu kwenye pua la Nguruwe" Suleiman aliona Mwanamke kama ni kitu cha thamani kufananishwa na dhahabu lakini pia aliuona ujinga wa mwanamke ni kama kipini hicho cha dhahabu kiwe kwenye pua la nguruwe. Kwa wanaojua nini Nguruwe huwa anafanya na pua lake, bila shaka wataelewa!!
 
Back
Top Bottom