Kutahiriwa ni Agano LA Mungu na vizazi vyake ivo asiyetahiriwa hutengwa na jamii take.
Mtu apaswa kutahiriwa akiwa na Siku 8 baada tu ya kuzaliwa.
Mwanzo 17; 9-14
Habari wapendwa?
Nakuja kwenu kuomba anaefahamu dawa ya maumivu ya kichwa kwani yamekuwa yananisumbua kila siku najikuta natumia painkiller kila aina lakini zinagonga mwamba huu mwaka was saba sasa kinanisumbua tu.
Nimeenda hospitali mbalimbali lakini naambiwa sina, nimepiga CT scan MRI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.