Recent content by mansoorsaid

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Siri imefichuka CUF

    lipumba hajatumwa na cuf lipumba katumwa na wanacuf wote wa bara
  2. M

    JamiiForums Tanzania Seif Shariff Hamadi agoma kumpa mkono wa salamu Rais Dkt. Shein!

    maalim Seif ni MTU mpenda madaraka na ndio aliomshawishe mzee Jumbe kudai serikali tatu yeye akazunguka kwa mwalim Nyerere kumchongea mzee Jumbe mpaka Leo kelele za serikali tatu ni ushawishi wa seifu kama ni upemba shein ni Mpemba orijino sefu in photo copy
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lowasa anatisha jamani !!

    wala hatishi ila wanamsikitikia mauvo yake juzi nilikutana na mfuasi wake wa karibu wa lowasa nikamuuliza kuhusu lowasa akaniambia hana pesa imeisha unaona chadema ipo kimyaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kauli fupi ya CHADEMA tulipoulizwa na waandishi kuhusu hao waliorudi CCM

    mkiambiwa maendeleo mazuri ya barabara elimu afaya yameletwa na CCM hamtaki leo unaijadili CCM hii ni kazii kwelikweli
  5. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA wagomea mwaliko wa CCM

    ukawa lazima wanaona aibu toka mfumo wa vyama vingi uanze CCM imeshabadilisha wenyeviti wanne pamoja anafuatia sasa. lakini wenyeviti wa ukawa toka wameanzisha vyama wenyeviti walewale
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete kutoa hotuba ya kishindo katika mkutano mkuu wa CCM - DODOMA.

    toka lini ukawa P.S wa JK
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza UKAWA kutokuwa na Imani na Naibu Spika, hawatohudhuria vikao vitakavyoongozwa nae

    haya #wakimataifa unasikia matusi ya wanywa viloba?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza UKAWA kutokuwa na Imani na Naibu Spika, hawatohudhuria vikao vitakavyoongozwa nae

    ukawaaa walikuwa mabingwa wa fedhuri bungeni wakajiona wanauwezo hata wa kuongoza nchi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ule uhuru wa mbunge bungeni linavunja maadili

    na ndio maana wabunge wanaingia ukumbini wengi wamelewa
  10. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani ni kama vinyago vya mpapure

    ukawa njooni huku #wakimataifa anawaita kinyago wa mpapure mje mumjibu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani ni kama vinyago vya mpapure

    uzuzu upi sasa kiongozi mkubwa analalamika kwa askofu utumbuaji majipu ni uonevu kweli
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    mimi sijajua ni vigezo vipi JPM kumteuwa ubunge na kumpa uwaziri wa elimu. ngoma ikivuma mwishowe kupasuka
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kudhulumiwa. ardhi wizara ifanye kazi ya ziada

    migogoro ya ardhi ni sawa na nati iliyofungwa na migongo imekufa. na ni hatari watu kudhurumiwa mwisho itafikia hali ya usalama kutoweka. mtu hawezi kudhurumiwa na mahakama kuvuruga kesi za ardhi ili mnyonge akose haki
  14. M

    JamiiForums Tanzania UKAWA Wavunjika Rasmi

    huyu Lizaboni katika watu wa jf akitoa mada sina shaka naye kwa habari zake ni za uhakika wala hazina figisufigisu
Back
Top Bottom