Ule uhuru wa mbunge bungeni linavunja maadili

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Hizi sheria za kusema mbunge bungeni anauhuru wa kusema chochote na asichukuliwe hatua hilo halifai kwa taifa letu kabisa ni kama mahakama hakimu anahukumu anavyotaka na kama kuna makosa katika hukumu eti mahakama imekosea hilo ni kumlinda hakimu hizo sheria hazifai hata kidogo
 
Back
Top Bottom